Recent content by Sabung'ori

  1. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dkt. Slaa kuibuka na Umoja Party

    Marehem asemwi vibaya,Tumwater Bob J apumzike
  2. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu kuhusu kaburi la Hayati Magufuli

    Huu mwandiko ni kama wa Zumaridi
  3. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Maswali tunayopaswa kujiuliza kama Taifa baada ya kujua watoto wa Lissu ni raia wa Marekani

    Wakwako peleka hapo Burundi ili kubalamce mambo
  4. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Ukienda Mjini kutafuta Maisha hakikisha unafanya haya

    Hayo yote uliyoorodhisha hayana maana coz sijaona sehemu yoyote uliyomtaja Muumba mbingu na aridhi
  5. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Siku Dkt. Bashiru, Prof. Kabudi au Balozi Polepole wakisimama dhidi ya CCM nitaogopa sana lakini Lissu, Lema na Mbowe hawana maajabu

    Hii ndio shida ya bangi za asubui,hayo Magijwi ndio madudu gani!?
  6. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Sakata la Vijana wafupi kukataliwa kujiunga na Jeshi la Polisi lamfikia Rais Samia

    Mtu kama huyu awe mwajeshi kweli!!!???
  7. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Treni ya umeme naona imeanza kazi

    Kwa speed hiyo bilashaka letakuwa ni trani la umeme wa jua na mvua hizi zinavyonyesha uenda ndo imesababisha likakosa nguvu ya-kukimbia
  8. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

    Acha masimngo na ulimbukeni usiokuwa na maana kijana,kila sehemu inautamaduni wake wa vyakula,kama ambavyo hauwezi kupata furu wa kubanika Washington ndio hivyo hivyo ulikosa brown bread Mwanza,uku kwetu asubui tunagonga chai ya maziwa na mahidi ya kuchemsha kwa raha zetu,hayo si jui ma brown...
  9. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tofauti ya ku-bet na kutafuta mnawamke mitandaoni ni ndogo sana,kumbuka 1/Dec ili kuwa ni juzi tu na watafiti wamesema ya kwamba asilimia 70 ya maambukizi mapya ya UKIMWI ni vijana kati ya miaka 14 hadi 25 na hao ndio wamejaa humu mitandaoni
  10. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Yamtokayo mtu kinywani mwake ndio yameujaza moyo,tofauti ya huyu na yule ni njinsia tu
  11. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

    Njoo tukae hapa tusikilize wote
  12. Sabung'ori

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanaenzi Hassan Suluhu ni mtoto wa Mama?

    Sikuzi zinakuja na kupita,kuna yale yasiyotabirika yakitokea kila kitu kitakaa mahala pake
Back
Top Bottom