Recent content by sabas linus

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amjibu Humphrey Polepole. Asema yupo tayari kukamatwa na hata kuuawa ila mawazo yake hayatakufa

    Zito anajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa yeye ndo mzarendo wa tanzania siyo hao akina mtulia aliye tulia
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amjibu Humphrey Polepole. Asema yupo tayari kukamatwa na hata kuuawa ila mawazo yake hayatakufa

    Zito anajaribu kuwaonyesha watanzania kuwa yeye ndo mzarendo wa tanzania siyo hao akina mtulia aliye tulia
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda lachukua sura mpya, Mameya na Madiwani kutoshirikiana na RC

    N Naona wanasheria mnamchelewasha huyu kiongozi kumpeleka mahakamani
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jukwaa huru la wazalendo lawaangukia Wabunge na Jeshi la Polisi

    migodi ya madini yetu wawekezaji wamechangia madawati mangapi? je mbuga za wanyama wawekezaji wa vitalu vya uwindaji wamechangia madawati mangapi? je misitu yote hii imechangia nn kwenye utengenezaji wa madawati sasa nini faida ya kutunza misitu hapa kwetu? tatizo viongozi wetu hawana ubuni
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    mmh mungu wangu sasa wapinzani mmekwisha maana pale tu alikuwa naibu katibu mkuu wa ccm balaa ndo lilikuwa kama madridi na barca je sasa ndo mabomu ya machozi na washawasha anaongoza yeye mmmh kwa mwigulu a.k.a fedel castrol yaan bungeni moto unawaka na akson mtaan na maji ya kuwasha kwa bwana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hamjiulizi mbona zoezi la kubaini wenye vyeti feki halipewi msukumo kama la kusaka watumishi hewa?

    mm nataman zoezi la vyeti feli lianzie bungen,polis uwalimu manesi na jwtz huko wapo wengi tu.Hii ni zaidi ya wafanyakazi hewa hapa tanzania.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mama Regina Lowassa afanya kufuru Morogoro

    safi sana mama lowasa hakuna kupumzika hadi ikulu mungu akupe nguvu mama
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM Wanusa harufu ya kushindwa uchaguzi

    ccm kwishaaa
  9. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mara Yamkabidhi Lowassa Hati ya Ushujaa Uliotukuka

    eeh mwenyezi mungu mpe afya njema mgombea wetu lowasa kila pande ya nchi pia eeh mungu uwalaani viongozi wote watakao panga mbinu za kuiba kura za ndugu lowasa afe kwa pressure au shinikizo la damu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nape hoi jimboni Mtama

    mungu naomba seleman mathew achaguliwe kuwa mbunge wa jimbo la mtama nape shindwa kwa jina la yesu kuwa mbunge wa jimbo la mtama
  11. S

    JamiiForums Tanzania CCM Lowassa tukutane hapa

    Namshukuru emmanuel na lugola kwa kazi ya kijasusi yaan ccm lazima ife mwaka huu weee chezea kingunge nyie akina Nape sasa kazi mnayo mwaka huu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    safi sana ukawa tena kila lowasa anapofanya kampeni hii ya lala salama ya toroka uje akusanye kadi za ccm na azichome moto hadharani italeta hamasa sana ili ccm wenyewe wazidi kuchanganyikiwa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Bundi ametua rasmi Mtaa wa Lumumba usiku huu

    karibu sana makamanda mtuongezee mbinu za kuitoa ccm hadi sasa lowasa amefikisha kura milion14 lkn lengo kuu la ukawa ni Kura za lowasa ni milion 19 sasa ccm toroka uje eparation hii tuna wakaribisha
Back
Top Bottom