Nape hoi jimboni Mtama

Nape hoi jimboni Mtama

Kufuatia kampeini zilizofanywa na mgombea urais kupitia cdm/ukawa jimboni mtama wananchi wa jimbo la mtama wameamua kwa wingi wao kujiunga vyama vinavyounda ukawa na kumuacha nape akihutubia viongozi wa ccm tu kila mkutano na wana mtama wameahidi kumchagua mgombea wa ukawa kwa kura za kimbunga.

UKAWA ina wagombea wawili huko Mtama, wa CDM na CUF. Hapo Nape anapeta kirahisi
 
IMG_0758.JPG

dingi wa Kati kamkata jicho balaa
 
Kufuatia kampeini zilizofanywa na mgombea urais kupitia cdm/ukawa jimboni mtama wananchi wa jimbo la mtama wameamua kwa wingi wao kujiunga vyama vinavyounda ukawa na kumuacha nape akihutubia viongozi wa ccm tu kila mkutano na wana mtama wameahidi kumchagua mgombea wa ukawa kwa kura za kimbunga.
Mimi mwenyewe niko huku mtama simpi kura yangu kuanzia diwani hadi rais
 
Lowasa hana mda wa kumjibu dogo nape wananchi watamjibu 25
 
Nape jitoe kulinda cheo chako ccm , ni aibu kuwa na mwenezi aliyeangukia pua .
 
mungu naomba seleman mathew achaguliwe kuwa mbunge wa jimbo la mtama nape shindwa kwa jina la yesu kuwa mbunge wa jimbo la mtama
 
Kiukweli Mtama hawamtaki,siasa za mabadiliko zitawaangusha wengi,mikoa ya Lindi na Mtwara kwa chama tawala,wameshaangukia pua!
 
Huyu akishindwa itakuwa safi sana.



@Nape @nnauye, Ni Mwanasiasa Wa Hovyo! Kupata Kutokea Katika Sayari Hii! Ila Ccm Ni Kundi La Malofa Na Mbumbumbu! Kuchagua Nape Ni Kuchagua Umasikini! Kwa Miaka Mingine Mitano!, Mtama, Lindi, Bucha Za Nyama Tu Ni Shida! Kuchagua Nape Nnauye Ni Kujinunulia Sanda! Mwenyewe! Ili Magufuli Akuoshe Na Kukuzika Rasmi Oct 25! Akisindikizwa Na Injini Inayonoki! 2017 Injini Hii Iliyochakaa Inapatikana Msoga Pekee! FaizaFoxy Hujambo Lakini!? Mjomba Wako GENTAMYCINE?
 
Last edited by a moderator:
Isihaka mchinjita mbunge mtama katuletee maendeleo
Wananchi tushaamka.
Upooooiii
Jimbo la mtama nila wana Ukawa hilo halina wasiwasi kupitia CUF.

Huyu kibaraka seleman mathew hatumjui tunajua ni CCM B. Tukimchagua itakuwa kama membe style 'no maendeleo'

Tahadhari wapiga kura tusidanganyike
 
m 02:05 13th September 2015
Aliyekuwa mgombea wa CCM baada ya kukatwa kupitishwa Nape kinguvu, CCM ilibidi wavuruge kasi ya mgombea wa UKAWA kwa tiketi ya CUF Bw. Mchinjita kwa style ya kuhamia CHADEMA na kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa lengo la kugawa kura "" imefahamika""wana Mtama zindukeni huu ni usanii.Tutaletewa Membe mwingine tukose maendeleo.tusipoteze muda na kampeni za CCM B.

kama kweli alitaka kuleta maendeleo Mtama asingehamia CHADEMA, wangeelewana na Bw Mchinjita iliwaunganishe nguvu sio kugawa watu halafu utegemee mabadiliko yatakuja.Tena UKAWA jimbo la Mtama wamelitoa kwa CUF sasa iweje mgombea wa CHADEMA kutoka CCM (baada ya kukatwa) achukue fomu kwa tiketi ya UKAWA CHADEMA.

Eti hoja ni wa cuf haaminiki anaweza uza jimbo acheni kutuchanganya. tunataka maendeleo. wana Mtama tusidanganyike.imegundulika jamaa baada ya kukatwa alionana na Pinda na CCM kupanga hiyo mbinu ya yeye kuhamia CHADEMA na kugombea lengo ni kugawa kura za upinzani ili Nape ashinde.hii imegundulika watafute ingine.Siasa ni mchezo mchafu Mchinjita piga kazi maendeleo kwanza majungu baadae. Mwaga sera za kuleta maendeleo wanamtama tupate kiongozi makini
Nape tunamtakia kila kheri aendelee kueneza CCM yake jimboni kunatakiwa maendeleo sio kuongea na waandishi.
kwani huyo Membe amefanya nn??
 
kanga-CCM.jpg
Muda umefika wa kuwakataa walaghai kama hawa ili wasipate tena nafasi ya kuwadhalilisha watu kiasi hiki kisa tu wamewapa ulemavu wa kudumu wa umasikini. Mtu anafanya hivi mchana kweupee hila haya wala soni, hapana, CCM has to go. Wakati wa mabadiliko ni sasa tuweze kuondokana na kadhia kama hizi.
 
Back
Top Bottom