Recent content by Sabaganga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Biashara nyingi hazipotezi wateja kwa bei, zinawapoteza kwa utaratibu wa kuuza

    Ni kweli kabisa unavyosema wateja hawapendi utaratibu mrefu kwenye kununua bidhaa. Kwa mfano mm nitaitaja hasa kampuni ya Selcom hapa Zanzibar wao ni wauzaji wa mashine za efd za ZRA. nilitaka kununua chaja tu basi naambiwa nidowload app ndio niagize kutoka Dar nilipe,nisubiri siku 3 wakati mm...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

    Huna lolote porojo tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tuache Conspiracies na Speculations: Viongozi wengi ni Wagonjwa!

    Umeeleweka
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukizingua, Kikwete haku-deal na watu, ali-deal mtu

    True
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kwa maoni yangu mm tally ni mfumo wa kizamani haukupi matokeo mazuri sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

    Mimi ni Muislamu lakini kwa kweli nawaunga mkono maaskofu wanapokemea uovu na kutaka haki iwepo kwenye taifa letu. Pia nami nashangazwa sana na masheikh wetu wanapotetea serikali na kupinga matamko ya kupinga uovu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

    Hujui hata unachokisema
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

    Mm mzanzibari lkn haya ulosema hapa sikubaliani nayo ni stori za vijiweni
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

    Mm nauliza tu kwa nn mgawane mali nusu kwa nusu huku kwetu zanzibar hamna mambo hayo tukiachana mke anakwenda kwao kama alivyokuja c uonevu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

    Mbona unamtisha yy tayari yuko Kenya anaishi huko. Mm namuunga mkono Tanzania tumezaliwa tu lkn ukweli c nchi ya kujivunia
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wamakonde wa Kipumbwi na Mapinduzi ya Zanzibar 1964

    Umetoa historia ya kweli hivi ndio inavyotakiwa watu wasome wasiwe wabishi tu au kuburuzwa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sina imani na safari ya mume wangu, naomba ushauri

    Ni kweli
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

    Ndio mkuu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni mimi pekee ndiyo nina maamuzi ya kijinga?

    Si pekeako. Mm mwenyewe mwanzoni mwa hii 2024 nimetoka zanzibar mpk mombasa kenya kwa ajili ya mwanamke wa kibajun nimetumia karibu 1 million hapa bado kuna deni nadaiwa na mambo tele ya muhimu ningeweza kufanya kwa pesa hio lkn sikufanya nikaenda kuiteketeza huko. Japo huifikiria lkn nimepata...
Back
Top Bottom