Shukran mkuu kwa taatifa..nimeambiwa mwisho ijumaa kwa ilala..majina yatakuja kutolewa baadae na ndipo form zitatolewa..na utaratbu mwingine kuendelea..
Pole sana mkuu..isiwe tabu achana naye huyo akufai si bure atakuwa kapata mwingine na anatafuta namna ya kukuacha maana "akufukuzaye hakwambii toka" wanawake wapo wengi ruhusu moyo wako ukubaliane na ukweli huo utapata mwingine atakayekuthamini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.