Mtihani mgumu..

Mtihani mgumu..

Kaja.mbe mbele huko wapi nimemnyanyasa mtoto?Kijana bado mdogo 24 kulea mtoto si haki pia huyo mwanamke akafie mbele mbona hakusubiri ndoa azae?kapanuliwa huko kazalishwa sasa hivi ndo anajitia mpaka ndoa.Mfyuuuuu
Nashukuru, bahati mbaya matusi sijafundishwa. Lengo hasa la mtu kuoa ni nini? Je, mtu aliyezaa hastahiri kuolewa? Ukioa asie zaa unapata nini ambacho aliyefanya kinyume na wewe anakosa? Nijibu maswali yangu. "NOTHING IS GOOD OR BAD BUT YOUR THINKING MAKE IT SO."
 
Nashukuru, bahati mbaya matusi sijafundishwa. Lengo hasa la mtu kuoa ni nini? Je, mtu aliyezaa hastahiri kuolewa? Ukioa asie zaa unapata nini ambacho aliyefanya kinyume na wewe anakosa? Nijibu maswali yangu. "NOTHING IS GOOD OR BAD BUT YOUR THINKING MAKE IT SO."

Afu we dada ebu tulia. Unataka dogo amchukue huyo yy kakosa nn.Tena dogo natamani ningekujua na huyo bint Pia nimjue.Hiyo issue ningeichukulia too personal.Ole wako nkuone nae. Watoto wabichi wako wengi tu Afu anakuletea mashart pumbaz zake.Yan ingekuwa mimi hamna rangi angeacha ona.We unajua Mpaka kazalushwa huyo mtoto alipugishwa kwata kias gani. Nakutoana bikra ilivo rough game...Yaani kaa Kaskazni yeye akae Kusini.
 
-kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na demu for a year bila kumgonga, huo ni UBOYA! Hayo mapenzi ya kihindi yalikuwa karne iliyopita, not karne hii. (Dar to Moro sio mbali)

-Demu kumuingiza lodge/guest afu eti akunyime papuchi kwa sharti la kumuoa kwanza, nawe ukakubali kweli, huo ni UZOBA! WHY alikubali kuingia lodge? au siku hizi lodge/guest ni pa kwenda kupiga story? keshakuona zoba sana

-Demu kukupa romance kitandani afu anakataa kukumanulia papuchi, nawe unalegeza kweli. huo ni UBWEGE!

-Ukute huo mwaka mzima amekuchuna weeee vijisent vyako unajifanya kumhudumia, afu mwisho wa picha Starring umeuawa na watazamaji tumeona 'chenga' tu bila maandishi. huo ni UPIMBI.

Wenzako huko Moro wanajipakulia tu utamu bila jasho. Pole kijana, ila ndo unajifunza hivyo, everything needs experience. :becky:

Aged 24 bado ni mdogo, so why ubabaishwe na mwanamke ambae ni unmarketable? (kuzalishwa tu tayari ishampunguzia soko, ata kama ni mzuri). Yawezekana hujuwi kusoma 'alama za nyakati' sababu ya hilo jina lako.

My advice: Just listen to your heart then chukua uamuzi we mwenyewe.

-Kaveli-
 
Silikiza moyo wako, unawezaoa ambae hajawahi kuzaa kumi katoa mimba kumi. Labda hapo kwenye masharti lakini kuhusu motto mie sioni tatizo. Kuna wanaume wengi sana wana watoto kabla ya ndoa haimanishi kuwa mwanamke akiwa na mtoto asiolewe. Ila na yeye angepunguza masharti kidogo.
 
Naona unajazwa na upumbafu kwa ushauri wa kijinga na wewe unaingia line.
-amekuambia mkapime kwanza, hii ni pamoja na kukuprotect wewe halafu watu wanakuita zoba na unakubali.
-kakwambia ukweli kuwa ana mtoto, halafu mabingwa wa kuchoropoa mimba wanakuambia utaoaje mwenye mtoto, unaona ni sawa.
-kakwambia muende kwao kujitambulisha, na wewe umesema unampenda kuna shida gani?
-kwamba wengine wanapewa, una uhakika gani? Kisa amezaa? Hao ambao hawazajaa na mabingwa wa kuua vitoto kila mwezi kwa contraceptives ambazo hazizuii fertilization bali kuziba mji wa mimba ndio waaminifu?

ushauri wangu chunguza mwenenendo wake (na jf sio mahali pa kuchunguzia) ukiona unafaa; vumilia uje umuoe. Ni mke mwema huyo sio changu. Amejifunza kutokana na kosa la awali ambalo liliresult kupata huyo mtoto, atakuwa mjinga akirudia tena.
ukiona vipi muache maana wewe mwenyewe hujitambui na hufai kuwa mume
 
Asanten kwa ushaur wenu wakuu nitaufanyia kaz, nawatakia siku njema..pamoja sana.
 
Vdogo vdogo na mazaga mengne nillitumia mbinu mbili tatu nikapata ila katkat ya ma-romance anashtuka nakuniomba nimuache.

Amah! Alikuomba umuache na wale ukamuacha!!!

Loh, hapo ndio ulipokosea, ungelazimisha mpaka ule mambo halafu uone masharti kama yangeletwa
 
Habari wana jf!
Mimi ni kijana (24yr), nmekuwa na mahusiano na binti mmoja yapata mwaka sasa sijawahi kula tunda pengne sababu ya umbali maana anaishi kwao moro, mimi nipo dsm sasa amekuja maramoja dsm kwa sis wake na jana tukapanga kuonana nkampeleka lodge nkajua nitakula tunda..badala yake akataka kujidhihirishia kama nampenda na nina malengo gani kwake..nikapewa mashart yafuatayo:-
1.Tukapime afya zetu kwanza.
2. Nikatambulike kwao.
3. Niwe tayar kulea mtoto wake maana tayar ana mtoto wa kke alizaa na kjana ambaye hawako pamoja sasa.
4. Hamna kula tunda mpaka nimuoe.
Nimekubaliana na mashart hayo ila shart la nne limenitia mashaka kwa nini anizuie na ilihali yeye ameshazaa na syo bikra.? Na kwel nitaweza kuvumilia kpnd chote maana kwangu kuwa tayar kuoa ni mpaka niweke mazngra sawa maana ndo kwanza nmeanza kaz..? Sasa sjui inakuwaje hapo maana nampenda..Hamuwez amin jana nimeambulia patupu..hapo anaashiria nini wakuu?
kwa karne hii hakuna kitu kama hicho na wewe usimpe hela ya matumizi mwambie unamtunzia mpaka mkioana
 
Katika masharti yote hayo aliyoysema wewe umempa sharti gani? mbona kama vile yote yanaonekana in her favour? muulize na alie mzalisha nae alimpa masharti hayo pia au?
 
Uboya huo kuekwa pending wakati wenzio wanajipigia na washatotolesha temana nae huyo kwanini hakusubiri ndoa tangu zamani shenzake!!!!

Yaani huwa kila nionapo thread humu MMU basi ni lazima nitafute kwanza comment yako ipo wapi. Kiukweli comments zako huwa zinanifurahishaga sana.........
 
Wewe unakaa dar sehemu gani mpaka unakosa mademu na kuanza kukomalia hao wabibi wa mkoani. Hembu ukipata hela nitafute nikupeleke kwenye mademu wazuri. Acha ushamba. Hayo mambo ya kizamani
 
Duuh, kumbe jamii yetu ni ya watu wanafiki kiasi hiki. Eti mdada mwenye mtoto! Tatizo lipo wapi? Kila siku tunaona nyumba za ibada zinajaa, watu wameenda kuwatembelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, kumbe unafiki. Kama umempenda oa, huyo mtoto ni binadamu anastahili kuthaminiwa na sio kunyanyaswa.

Wewe unaweza kuoa???
 
Nmeamua nijitoe tu ila nahtaj hekima kumueleza aelewe na asibaki na kinyongo na mimi

Hakuna haja ya kumuelewesha. Wewe fanya hivi. Ilifika kwanzia tarehe moja mwaka mpya , hakuna kupokea simu yake wala kutuma message. Kaa kimya tu , akipiga na namba ingine pokea , ukikuta ni yeye kata. Akituma message usiisome. Futa juu kwa juu.
 
Huna chako.. anataka uhakika wa mtu wa kumlelea mtoto wake.. utakuja kuwa babeciter
 
Hakuna haja ya kumuelewesha. Wewe fanya hivi. Ilifika kwanzia tarehe moja mwaka mpya , hakuna kupokea simu yake wala kutuma message. Kaa kimya tu , akipiga na namba ingine pokea , ukikuta ni yeye kata. Akituma message usiisome. Futa juu kwa juu.

Nimeipenda hiii ya kufuta sms juu kwa juu nitakua nitumia nikitaka kuacha na ile mianaume inayong'ang'ania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom