Watanzania tuko kama million Sabini Ila wenye akili hawazidi elfu sitini kuna kauli zingine hadi watoto wetu watakapokuwa wataanza kutukosoa kwa mengi sana mfano Leo unasema hivi kesho unakana kauli zako kisa [emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535] halafu...
Usipaniki brother watu kama hao unawajibu kwa Hekima kwan ukimuuliza marinda ni tusi kubwa sana haliendani Na hadhi yako mjini kwa hekima ya kikubwa ili siku nyingine asirudie huo ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nyie mnaosema hajaweka ushahidi mlikwenda kumwomba ushahidi akakosa je mkija kumwomba ushahidi akawapa mtasemaje acheni ubabaishaji Yule ni mwana Sheria hawezi kukurupuka kutoa maneno kama hayo anajua lazima ataulizwa ko ana ushahidi Wala siyo bure
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.