Sawa kaka nimesoma nimekuelewa,Koenigsegg ni gari nzuri,ila nikizitazama Koenigsegg,Ferarri na Venom Gt naona kama zimekaa kama gari za F1,Ila wameweka body kama cover ila ni formula moja na F1 Cars naona,Ila Bugatti ni gari bwana,kwanza engineers wamedesign body amazing sana,pia niliiona...