Vijana tuepuke sana kulewa na mambo haya matano,
1.Nguvu/Mamlaka/Madaraka/Cheo (Power),
2. Vitu (Property),
3. Ufahari (Prestige),
4. Umaarufu (Popularity) na,
5. Mbwembwe (Pomposity).
Vimeangusha watu wengi sana kabla ya kufikia hata malengo yao.
Usijiona leo una mamlaka na ungali kijana...