Recent content by s.fm

  1. s.fm

    JamiiForums Tanzania Jumatatu ni sikuku au....?

  2. s.fm

    JamiiForums Tanzania Star Times hawana uzalendo kabisa

    Asante mkuu kwa taarifa....hata mimi nilijua kwangu tu, kidogo nipande juu! dah hawa jamaa feki kweli
  3. s.fm

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu roman catholic mnalijua hili ?

    Huo ni utaratibu tu....tena kuna wengine ambao wanachoma kabisa mwili wa marehemu na kubaki na majivu! lakini suala la pesa lina nyanja tofauti nyingi tu katika hizi imani tulizonazo siku hizi
  4. s.fm

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu roman catholic mnalijua hili ?

    Suala business oriented lipo katika nyanja nyingi sana, si kwenye misiba tu! pamoja na hilo hata katika misiba ya watu maarufu waislam...pia tunawaona viongozi wao kibao tu! achana na pesa bana
  5. s.fm

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu roman catholic mnalijua hili ?

    Mkuu hoja yako nimeipenda...kwakweli pesa inazidi kuleta shida katika dunia hii! haya mambo yapo na tunayona sehemu nyingi tu. Lakini hili ni kwa dini zote zilizopo katika dunia hii, ni kweli wengi wanahamia katika makanisa ya kiroho....ambayo pia mwisho wa siku ni 'business oriented'
  6. s.fm

    JamiiForums Tanzania Ero Link Recruitment Agency - Scandal

    Hii nimeipenda sana...
  7. s.fm

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa sekondari ni hatari sana kwa sasa.

    Hiyo ni age yake ya kufanya hivyo ambayo kila mtu anaweza kupitia inategemea na mazingira yake! tatizo linakuja kwa yule anaekutana nae......siku hizi ma-BAZAZI wengi mtoto kama huyo akijichanganya amekwisha
  8. s.fm

    JamiiForums Tanzania Afande'Edward'aliyekamatwa na magunia18 ya bangi Himo ametoroka mikononi mwa polisi!

    Ningesikia ameondoka pengine ningeelewa vizuri....but si kutoroka
  9. s.fm

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dr Masau na Implications yake kwa Wataalamu wa Kitanzania

    R.I.P dr Masau...utakumbukwa kwa msaada wako katika nchi hii,
  10. s.fm

    JamiiForums Tanzania Mlegezo/kata k.

    Fashen tu na sifa za kijinga....itakuja itapita itakuja nyingine pia itapita! kama vile wanaume walivyoanza kusuka,kuvaa eleni...kata k, na sasa kata k ya mtindo wa kuacha boxer nje.. basi mbwembwe tu za kidunia japo zinamadhara yake kimaadili
  11. s.fm

    JamiiForums Tanzania nipewe....

    Hebu fanya uchunguzi kidogo....yani huo ufundi tu ndio hamu imuishie kiasi hicho.....! kama ni kweli komaa utafute hela ya papuchi bana...
  12. s.fm

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo gani?

    Nunua miwani....yenye lenzi mbonyeo.....ukitaka kupiga unaivaa, kumbuka kuifunga na kamba isitoke...jaribu hii mkuu itakusaidia
  13. s.fm

    JamiiForums Tanzania Linaniumiza kichwa

    Hizo dalili sio nzuri....and i dont think kama unahitaji uchunguzi, angekua mke wako may be ungeanza utaratibu wa kufanya uchunguzi na mambo mengine! just go straight muulize atachanganya taarifa tu na utampata, na kama atakua mbali na wewe kwa muda mrefu basi ni bora kufanya maamuzi magumu
  14. s.fm

    JamiiForums Tanzania KIU YA MWANAMKE:.......waijua wewe?

    Mkuu nimekupata vizuri sana… na hii ndio kiu haswa tunayoijua ndio maana "Alichonacho alipewa kwa matumizi yangu wajamani!" Lakini siku hizi kuna kiu za kisasa au kiu feki ambazo hupelekea "Aliumbwa anitumikie sasa ataka kunigeuzia kibao" well done kaka
  15. s.fm

    JamiiForums Tanzania wanawake viumbe katili sana !!!

    Nimeishika hiyo adabu bibie...but si K peke yake hata bila mtalimbo nisingekiwepo pia
Back
Top Bottom