Nina tatizo gani?

Nina tatizo gani?

Nahitaji ushauri wenu wanabodi.
Kila ninapopata mwanamke mwenye makalio makubwa nashindwa kabisa kupiga mashine.

Imenitokea zaidi ya mara tano. Lakini nikimpata mwanamke aliyepigwa pasi naweza kupiga hata goli sita.

Tatizo wanawake wengi siku hizi wana makalio makubwa so najikuta nashindwa kupiga mashine kwa almost wanawake wengi

Nifanyeje?
we ndo hujui raha, tuulize sisi, nikilipata Semi Trela naliendesha toka dar mpaka mwanza, mie nna allergy na vimbau mbau, mwisho kavunjikie kitandani, kitu iwe na kalio la uhakika ndo burudani yenyewe
 
Nunua miwani....yenye lenzi mbonyeo.....ukitaka kupiga unaivaa, kumbuka kuifunga na kamba isitoke...jaribu hii mkuu itakusaidia
 
Nahitaji ushauri wenu wanabodi.
Kila ninapopata mwanamke mwenye makalio makubwa nashindwa kabisa kupiga mashine.

Imenitokea zaidi ya mara tano. Lakini nikimpata mwanamke aliyepigwa pasi naweza kupiga hata goli sita.

Tatizo wanawake wengi siku hizi wana makalio makubwa so najikuta nashindwa kupiga mashine kwa almost wanawake wengi

Nifanyeje?
Swali: How old are you!Nina wasiwasi kwamba mwenye matatizo ni wewe na sio wao.
 
Nahitaji ushauri wenu wanabodi.
Kila ninapopata mwanamke mwenye makalio makubwa nashindwa kabisa kupiga mashine.

Imenitokea zaidi ya mara tano. Lakini nikimpata mwanamke aliyepigwa pasi naweza kupiga hata goli sita.

Tatizo wanawake wengi siku hizi wana makalio makubwa so najikuta nashindwa kupiga mashine kwa almost wanawake wengi

Nifanyeje?
Mkuu kuna msemo unakwenda hivi "Different Strokes for Different Folks". Kwa hiyo wewe Kama Mzuka wako uko kwenye wanawake wenye makalio madogo...basi huo ndio wito wako mkuu. Chanja mbuga na kina Betina mpaka kieleweke..kina Zena waachie wenyewe. Wasije kukuzushia kijana si rizki..si unajua watoto wa mujini tena.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Nahitaji ushauri wenu wanabodi.
Kila ninapopata mwanamke mwenye makalio makubwa nashindwa kabisa kupiga mashine.

Imenitokea zaidi ya mara tano. Lakini nikimpata mwanamke aliyepigwa pasi naweza kupiga hata goli sita.

Tatizo wanawake wengi siku hizi wana makalio makubwa so najikuta nashindwa kupiga mashine kwa almost wanawake wengi

Nifanyeje?

hapa atakaemshauri huyu Mango Pickle mungu amlaani! sa ye kipaji chake cha walopigwa pasi anataka na wenye makalio makubwa tena anataka wengi, sasa wengine watapata wapi!? we kijana unatakiwa utulie hiyo ni natural selection ukilazimisha utapata majanga mbele za mungu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom