Acha ukichaa kijana.. miundombinu iloshawekwa so baada ya tetemeko imeharibika na kumbuka hakuna bajeti ya kurekebisha miundombinu ile hivyo fedha za zilizopatikana ndo hutumika katika kuboresha miundombinu.. Na hakuna serikali imejengea watu nyumba kutokana na tetemeko.. zaidi ni miundombinu...
Ukapimwe akili kijana.. electoral votes ingemsaidia zaidi magufuli as ameshinda mikoa 25 ambayo kwa idadi ya wajumbe let say MPs ni wengi zaidi ya ambao angepata lowassa.. mjrity votes ndo zimembeba zaidi lowassa..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.