Recent content by Rystev

  1. R

    Hotuba ya ukaribisho wa Papa Francis jijini Nairobi.

    Ndugu wana JF naomba mwenye hotuba ile Padri mmoja aliyosoma kukaribisha wageni kwenye mkutano ule ambao Papa Francis alihutubia watu Uhuru Park, Nairobi mwaka jana. Naomba aliyenayo aniwekee link hapa niweze kuipata. Nilipenda sana jinsi maneno yalivyopangiliwa kwa ustadi mkubwa wa lugha...
  2. R

    Lowassa 2015

    Gonga "Like" hapa!
  3. R

    Hili tangazo liko sawa kweli?

    Tangazo liko sawa tatizo ni nyinyi wenye tafsiri potofu. Mbona matangazo kama hayo yapo mengi tu mfano lile la watoto wachanga kuhamasishana kwenda kupima HIV. Au unadhani uzazi wa mpango ni kondomu tu? Tangazo linamhusu mtoto pia maana na yeye anahitaji afya bora, elimu bora, maisha bora, nk...
  4. R

    Mtangazaji wa TBC, Aboubakar Mwanamboka, afariki Dunia!

    Du! Kama ni hivyo kusingekuwa na haja watu kuswali wala kwenda makanisani/misikitini. Biblia inaniambia ibilisi, waovu wote waliokufa na walio hai watahukumiwa na kuchomwa moto. Soma Ufunuo wa Yohana sura ya 20, aya ya 15 hadi 20.
  5. R

    Sitta Ataka Mdahalo na Lowassa Kuhusu RICHMOND; Asisitiza Kuwa Lowassa ni Fisadi!

    Madai kuwa wanavyo vielelezo na ushahidi wa kumtia Lowasa hatiani ambavyo havikutolewa bungeni ni unafiki mkubwa. Inadhihirisha kuwa hao waliokalia huo ushahidi ndio mafisadi wenyewe. Kama walikuwa na uchungu na nchi kwanini hawakuvitoa wakati ule ili EL afungwe? Je sasa tuamini kuwa ni watetezi...
  6. R

    Jengo walilopanga CHADEMA kama Ofisi, Mtaa wa Ufipa Kinondoni ni la Nani na kodi yake ni kiasi gani?

    Huyu anayejiita yahoo je, anajua hata maana ya hilo jina au ndio mambo ya kudandia treni kwa mbele? Inaonyesha ni jinsi gani hawezi fikiri nje ya boksi. Hivi unaweza kujua taasisi kama ina matumizi mabaya kwa kuangalia jengo? Mie nilidhani ni kwa kupitia taarifa ya mapato na matumizi halafu ndio...
  7. R

    Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    CHIKUTENTEMA uko sahihi. Huyu nyoka ana spidi kali kuliko nyoka wote niliopata kuwaona. Kwetu Serengeti tunamwita "ehalale". Kwa kawaida hashambulii mtu. Kazi yake ni kuwinda panya. Watu wanasema kuwa anachapa miguu kwa sababu ya spidi yake ukimbabatiza na akapita miguuni pako utaishia kusikia...
  8. R

    Vituo vya Polisi vinavyoshutumiwa kuwatesa watuhumiwa wanaposwekwa rumande Tanzania

    wewe wameshakujua ni ATM. Siku wakiwa na njaa wanakutafuta. Tena wanaambizana leo akija huyu kesho anakuja yule. Zinduka watakufilisi. Kwanza polisi hatoi hukumu ya kesi wala kufunga mtu, mnatoa pesa za nini? Wanatoaga vitisho tu wakati mkienda mahakamani wote mnakuwa sawa! Unaweza kumkanusha na...
  9. R

    Wizi wa simu mabasi ya Mikoani

    Nauli aliyolipa itakuwa ndio mgawo wa kondakta na dereva. Walishachukuwa chao mapema kumbuka alilipia watu wawili. Suala la kusema kama huyo dada asingetoa cm dili lingebuma si kweli. Maana mwizi angemfatilia mpaka mwisho na lazima afanikishe tu kwakuwa tayari ameishalipia. Angeshindwa kuiba...
  10. R

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Ukiwatoa Prof. Muhongo na Mwigulu Nchemba, hao watia nia wengine wamekuwa serikalini miaka mingi, je wametufanyia nini? Jamani tuache ushabiki kwa watoa rushwa. Sasa hivi taifa linahitaji watu wa kazi kama Muhongo na Mwigulu! Hawa watu wamefanya kazi kwa muda mfupi na matunda yao yameonekana...
  11. R

    Kati ya watangaza nia wote, yupi umeona anafaa?

    Muhongo anafaa kuongoza nchi yetu Tz. Ana uzoefu mkubwa wa kuongoza ukizingatia amekuwa kiongozi mkuu ktk mashirika makubwa ya kimataifa kwa miaka mingi tena kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza. Hivyo aliyojifunza huko kwa wenzetu walioendelea anaweza kutusaidia na sisi kutoka hapa tulipo kwenda...
  12. R

    Uongozi wa Kimataifa Prof. Muhongo awapigania

    Muhongo anafaa kuongoza nchi yetu Tz. Ana uzoefu mkubwa wa kuongoza ukizingatia amekuwa kiongozi mkuu ktk mashirika makubwa ya kimataifa kwa miaka mingi tena kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza. Hivyo aliyojifunza huko kwa wenzetu walioendelea anaweza kutusaidia na sisi kutoka hapa tulipo kwenda...
  13. R

    Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

    Password ni muhimu. Kama unataka watu wakusaidie ukipata ajali, watasoma contact ya mtu utakayekuwa umemwandika kwenye notebook/diary yako.
Back
Top Bottom