Duh! Mkuu umenikumbusha.J5 mke wangu walimwibia sim ya huawei wakati anashuka kwenye basi hapo ubungo.Kwa mabasi ya Babati,Polepole ndiyo linaongoza kuwa na wezi wa sim,maana hapo juzi tu mzungu mmoja walimwibia sim,pass,na camera.Polepole badilikeni wizi utawatoa sokoni.