Hotuba ya ukaribisho wa Papa Francis jijini Nairobi.

Rystev

Member
Jan 21, 2014
30
18
Ndugu wana JF naomba mwenye hotuba ile Padri mmoja aliyosoma kukaribisha wageni kwenye mkutano ule ambao Papa Francis alihutubia watu Uhuru Park, Nairobi mwaka jana. Naomba aliyenayo aniwekee link hapa niweze kuipata. Nilipenda sana jinsi maneno yalivyopangiliwa kwa ustadi mkubwa wa lugha. Nadhani itanisaidia hata mimi ninapokuwa ninandaa speech zangu. Naomba kuwasilisha.
 
Kuna jukwaa la Wakenya peleka huko watakusaidia!
 
Back
Top Bottom