Recent content by ryaniza

  1. ryaniza

    Mitandao wa Voda na Airtel wamefuta huduma ya kuongea na mtoa huduma kupitia namba 100?

    Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani. Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel. Hili suala...
  2. ryaniza

    HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Pesa zilishaletwa mkuu watu wamefatilia mpaka heslb wakasema jambo lipo nje ya uwezo wao ni kudeal na uongozi wa Chuo vyuo Ardhi na SUA loan officers tunaomba majibu
  3. ryaniza

    HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Vyuo kama Ardhi na SUA Bado watoto wa first yr wanahangaika wanapigwa tu kalenda na ma loan officer na inasemekana pesa za wanafunzi zimeshatumwa kutoka HESLB kwenda vyuoni watoto wale Nini watazingatiaje kwenye masomo HIZO PESA ZILIZOLETWA VYUONI NA HESLB ZIKO WAPI??
  4. ryaniza

    HESLB na serikali wafikirieni watoto wa Mwaka wa kwanza Vyuo Vikuu

    Asilimia kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vikuu ambao ni wanufaika wa mikopo ya serikali. Yaani wanategemea mikopo ya serikali wanapita kwenye wakati mgumu wakipewa ahadi za kuingiziwa hela bila mafanikio yoyote, HESLB pamoja na serikali iliangalie hiki suala natumaini wao pia ni watu...
  5. ryaniza

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Sawa Katibu mkuu wa basata
  6. ryaniza

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    We nae .....ya kwako ya ukweli Iko wapi🤷
  7. ryaniza

    True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Maisha ya kijijin ndo Raha hivi kumbe jamani enhee endelea
  8. ryaniza

    Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
Back
Top Bottom