Recent content by ryan riz

  1. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini suala hili dogo sana viongozi wa CCM wanashindwa kuling'amua na kufanya wapendwe na wananchi na warudishe Uhai wa Bunge

    Yaani ukiangalia kiu ya wananchi ni kuona kuanzia mwenyekiti,Diwani,mbunge akimpigania haki yake ya kiuchumi na kijamii kwa uwazi kabsaa hata ikitokea kiongozi huyo atashindwa fanikiwa suala hilo,mwananchi anayepiganiwa ataendelea kumpenda kiongozi huyo maana juhudi na jitihada zake ameziona...
  2. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Je kila mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri anafaa kuitwa mshangazi? Au wote mnaweza kuwa wazee tu...

    Niko 40s ila nilishangazwa na jamaa yetu,kwenye vikao vyetu vya jioni kwenye kupiga moja mbili tatu,kusema shemeji yetu atapita kutusalimia kwamba ni mshangazi flani hivi.. Sasa hapo ndio nikamwambia umri wetu sisi hatuwezi kuwa na mishangazi hao ni wazee wenzetu....
  3. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Je kila mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri anafaa kuitwa mshangazi? Au wote mnaweza kuwa wazee tu...

    Yaani unakuta mtu anamiaka 42 alafu anamahusiano na mwanamke ana miaka 48 alafu anasema anamiliki mshangazi ....!!!!! Huyo si mzee mwenzie tu... Mshangazi aitwe na vijana wa miaka 18 mpaka 35... Ila kwa sisi wa miaka 40 mahusiano na wanawake waliotuzidi umri ni WAZEE WENZETU..
  4. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: China inavutia sana. Ninawahimiza sana watu kutembelea huko

    Braza sijui hata kama ushawahi fika mataifa haya mawili... Marekani anaizidi china kwa uhuru wa watu wake tu kwa sasa na uwezo wa kushawishi nchi washirika katika vikwazo,japo hili dawa yake muda si mrefu itapatikana ... Siku china akiziweka nchi za kiarabu mfukoni jeuri ya marekani kweshnei...
  5. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Mfumo imara huhitaji watu imara. Tanzania tuna watu wavivu walalamishi, waongo na walafi

    Watanzania hakuna wa imara kuanzia wananchi mpaka viongozi...hata akitokea kiongozi imara atazungukwa na watu dhaifu goigoi na kupelekea nae kurudi kule kule
  6. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Ukweli lazima usemwe Samia sio mbaya kiivyo na inawezekana hata October 29 yeye sio muhusika mkuu kwasababu yuko front page

    Hili naungana na wewe kabsaaa...yeye ni samaki kwenye maji hakuna atakaeona machozi yake .. Ila nakuhakikishia kuanzia 2031 ipo siku wa Tanzania watajua kilichokuwa kinaendelea nyuma ya pazia
  7. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia Suluhu anatabiriwa vibaya au mti wenye Matunda ndio upigwao mawe?

    Watu walioko serikalini/ utawala wake ndio wabaya hasa kuliko hata vyama vya upinzani... Wenye akili timamu washaanza kugundua hao watu wanamtengenezea ajali nyingi za kisiasa kwa makusudi ili aendelee kuchukiwa na wananchi kwa kisingizio cha kumlinda au kumtetea...
  8. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Naiona hatari kubwa ya kuua elimu ya juu. Wanasiasa badilikeni, bado mapema

    Je walimu/wahadhiri wa wataaluma hao katika ujana na taaluma zao nao walikuwa Machawa..!!! Nyerere hakuwa mjinga kuacha taaluma ya vyuo vikuu itimize wajibu wake wa kitaaluma kwa kukosoa/ kurekebisha na kutoa mifano mbalimbali ya uwajibika na usio uwajibaki wa serikali....huwezi kufundisha...
  9. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Naiona hatari kubwa ya kuua elimu ya juu. Wanasiasa badilikeni, bado mapema

    Icho kizazi kipo sasa...? Nachozungumzia ni miaka ijayo...wanafunzi wa leo ndio wahadhiri na viongozi wa miaka ijayo ....kinachofundishwa leo ndio kitakuja rejea matokeo ya maisha ya miaka ijayo
  10. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Naiona hatari kubwa ya kuua elimu ya juu. Wanasiasa badilikeni, bado mapema

    Nadhani kuna ajali anaweza kuwa anatengenezewa kimakusudi na kwa ufundi sana na wasaidizi wake kwa kisingizio kuwa wanamlinda na wanalinda chama.... ila mioyoni mwao wamedhamilia kumkomoa/kumdhalilisha kwa kujua ndio atazidi kuchukiwa na kila rika mpaka kwa wasomi... Iko haja kuja watawala...
  11. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Naiona hatari kubwa ya kuua elimu ya juu. Wanasiasa badilikeni, bado mapema

    Ni hatari baadhi course hasa za utawala,masuala ya usimamizi wa fedha,uandishi wa habari,manunuzi na sheria ni kama tayari wahadhiri husika watakuwa wameingia ubaridi na zitakosa uhalisia katika ufundishaji wake katika mazingira ya nchi yetu .
  12. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Naiona hatari kubwa ya kuua elimu ya juu. Wanasiasa badilikeni, bado mapema

    Naiona hatari kubwa ya kuua elimu ya juu Wanasiasa badilikeni, bado mapema.
  13. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii vita ya biashara, wananchi tumesimama upande wa wachina, wafanyabiashara wazawa wanatuumiza sana kwa tamaa ya mafanikio ya haraka

    Uzuri me bidhaa mfano mavazi nashukuru nikiwa Bar zinanijia alafu bei kitonga... Kiatu kinapitishwa Bar cha elfu 25 ukikuta dukani laki na kuendelea..
Back
Top Bottom