Recent content by Rweza

  1. R

    CHADEMA kuweni makini na ada ya mwanachama ya kila mwaka

    Hii ni taarifa muhimu sana kwa chama chetu. Taarifa iko very objective
  2. R

    Natafuta Mawasiliano ya Wajumbe wa Tume ya Operation TOKOMEZA

    Nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa wajumbe wa tume huru ya rais iliyoundwa kuchunguza madhala ya operation Tokomeza watakuwa Wilayani Muleba kuanzia tarehe 24-27 mwezi huu yaani kuanzia leo. Wilaya ya Muleba ni mojawapo ya Wilaya zilizopata Madhala makubwa sana ya operation hii. Watu...
  3. R

    Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    Asante kwa kutuletea makitu haya
  4. R

    pilika pilika za Urais 2015. Dr Slaa ahaha na Prof Anna Tibaijuka

    Tehe tehe tehe. Ana kugombea urais wa Tanzania yaweza kuwa dharau ya karne kwa Watanzania. Wewe unayesema huyu mama sio fisadi tembelea jimbo lake ukutane na wananchi wakuambie upande wa pili wa huyu mama. Nahisi umeleta uzi huu ukiwa umelewa chakali afu kinywaji chenyewe ni Chibuku.
  5. R

    Prof. Anna , anaweza au wizara imemzidi kimo!

    Haya mimi nilisema watu wakabisha. Huyu mama hawezi hawezi hawezi na hawezi. Kazi kubwa aliyoifanya kipindi chake ni kujimilikisha mahekali na mahekali ya ardhi kwenye jimbo lake huku akitumia nafasi yake kuhakikisha anahalalisha umiliki kwa kufyatua hati kwa kila hekali. 2015 kama mbali vile.....
  6. R

    Diwani EVAT ERNEST anapoendekeza Manyanyaso na Unyama kwa wananchi wake.

    Wananchi wa Kata Rulanda Wilaya ya Muleba wanajuta kuchagua dikteta ndani ya kata yao. Wakati anachaguliwa wananchi walikuwa na imani naye na hasa kuzingatia kuwa alikuwa Mnjilisti na wakati huo hakuwa amewahi kuonyesha unyama wake. Huyu anakofia mbili pia ni Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya lakini...
  7. R

    be ware of erolink

    At least serikali imeamka. Kwa yeyote mwenye ripoti ya tume atuwekee hapa tunataka kuona to what extent haya makampuni ni kishenzi sana na yanadhalilisha watanzania waTanzania.
  8. R

    Tibaijuka maeneo haya yanapata umeme lini kama ulivyohaidi

    Omulangila tunakushukuru sana kwa kuanzisha mada hii. Mimi nilitoa habari za pilau za huyu mama nikaitwa Allistides Rwezaula Kashasira na mama kajifagilia sana kwamba alikuwa anashiriki chakula na wapiga kura baada ya kukagua shughuli za maendeleo. Kuna mahali alikuwa anafika kwenye maeneo ya...
  9. R

    Waziri Tibaijuka atoa kali Jimboni:Atembea na sufuria la Pilau kushawishi wananchi kuhudhria Mkutano

    Kakalende mambo ya sponsorship yako Lumumba sio Muleba. Huku bado watu tumepigika na labda ndo maana tuneletewa Pilau. Tunapokuwa tunaandika ujue tunaandika kitu ambacho kipo maana sisi tuko humu Muleba na tunajua maisha ya kila siku ya hapa na ndo maana Omulangila kadhibitisha kwamba wakati...
  10. R

    Waziri Tibaijuka atoa kali Jimboni:Atembea na sufuria la Pilau kushawishi wananchi kuhudhria Mkutano

    Wanabodi nimeleta thread hii na kuamua kukaa kimya maana nilihisi ofisi za Halmashauri Muleba (BOMANI) zilikuwa zimejaa mashushu waliokuwa wakiangaika huku na kule angalau kuona kama kuna mtu atakuwa anazungumzia suala hili na pengine kushabikia maana ni aibu kwa Wilaya nzima, Mkuu wa Wilaya...
  11. R

    Waziri Tibaijuka atoa kali Jimboni:Atembea na sufuria la Pilau kushawishi wananchi kuhudhria Mkutano

    Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi alitinga kwenye viwanja vya mkutano na masufuria ya Pliau. Mwanzoni wananchi wa Kijiji cha Kiga Kata Rulalnda Jimbo la Muleba Kusini waliona kama ni maagizo pale Waziri alipotinga eneo...
  12. R

    Grace Mbowe afariki ajalini - Kabuku, Segera - Tanga

    Duh! Pole sana wafiwa na mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
  13. R

    CHADEMA mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa baraza la mashauriano Muleba 5.10.2013

    Triple H, ni swali zuri sana umeuliza. Mimi simfahamu saana kihivyo ila namfahamu kipindi alipokuwa Mwalimu wa Sekondari Kishoju ambapo vijana wake walimwita Mwalimu wa Namba nikimaanisha mwalimu wa somo la Hisabati ambapo kwa kipindi kidogo alichokaa pale Kishoju aliifanya ile shule isifike kwa...
  14. R

    CHADEMA mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa baraza la mashauriano Muleba 5.10.2013

    Timbilimu unalolisema uko sahihi kabisa. Kwasisi wakazi wa Muleba tumegundua ni kwa kiasi gani tulidanganywa na uprofesa wa mama na uzoefu wake umoja wa mataifa. Tumegundua kumbe elimu na kujua mataifa na wanamataifa havitafrisiki sambamba na uwezo kwa kutatua matatizo na changamoto...
Back
Top Bottom