Recent content by RWEYONGEZA MUTTA

  1. RWEYONGEZA MUTTA

    Chemsha ubongo

    Anamlilia mjomba wake
  2. RWEYONGEZA MUTTA

    Michapio hatari

    Unajua haya sio makosa ya wachezaji ila ni makocha ya makosa!:D:D
  3. RWEYONGEZA MUTTA

    Michapio hatari

    Aaah question the answer...!!
  4. RWEYONGEZA MUTTA

    Stupid question, stupid answer

    Aliye lala anaweza kujibu...ila alie usingizini manake kasinzia hawezi kujibu chochote!! Sio wote saa sita wamesinzia...nipo pamoja na excel kama mtoa jibu hapo mwanzo alimaanisha kucnzia...na akiamka inabidi ajibu swali km kalala au hajalala ila asiseme amesinzia wakati hauwezi kujibu ukiwa...
  5. RWEYONGEZA MUTTA

    Majina Ya utani ya Utotoni

    Macho dungu Kijeba Chai jaba
  6. RWEYONGEZA MUTTA

    Stupid question, stupid answer

    Ukisifiwa 'wewe jembe' au ukiitwa ' wewe jembe' mjibu Nikodi nikainue sector ya kilimo
  7. RWEYONGEZA MUTTA

    Nimezidishiwa pesa kwenye akaunti ya bank.

    Hil ni jambo la kawaida kutokea katika mabenki na hali hiyo kitaalamu inaitwa "over crediting or over debiting" Kama kukuongezea pesa na benki ambazo hauzistahili inaitwa overcrediting au kutoa kiasi cha pesa na ukazidishiwa deni inaitwa over debiting Haya ni makosa ya kawaida ya benki na...
  8. RWEYONGEZA MUTTA

    Katiba na maamuzi ya mahakama za kimataifa

    @ viva89 Nashukuru kwa mchango wako ndugu, lakini kwa namna ya utekelezaji wa mikataba na sheria zingine za kimataifa utambue kuwa tupo katika mtazamo wa kidualism… hadi sheria au mkataba hucka upitishwe kwa maridhio ya bunge! Na hii taratibu imewekwa na katiba.
  9. RWEYONGEZA MUTTA

    CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

    Kuna watu naweza kusema akili zao zinahtaji ziwe formated coz hata vita ya idd amini hawajui ilikuje, wanajua historia 2!!! Mcdanganyike na filamu mnazoangalia, vita wala swala la kujiandaa kupigana co jema hata kidogo, ucone cfa kuongea upumbavu kucfia ujinga eti mnajeshi... acha ujinga ww...
  10. RWEYONGEZA MUTTA

    Je serikali tatu ni muafaka wa kulinda muungano!?

    Wanajf nakaribisha maoni yenu!! Yangu binafc coni km ni suluhu kwa maana jambo kubwa linaloyumbisha muungano huu ni swala zima la UGAWANAJI WA RASILIMALI YA TAIFA Sasa km serikaki mbili ilishndwa je hizi tatu itawezekana!? Jibu la haraka nililonalo ni kwmb rasilimali ya taifa itatumika vby coz...
  11. RWEYONGEZA MUTTA

    CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

    Mimi nahc chama chochote kinaweza kuwa chama tawala wakati wowote kuanzia 2015 kwa hoja kuwa 1.wananchi walio wengi bdo hawajajua maana halisi ya demokrasia 2. Siasa ya nchi hii bdo haina mashiko kukidhi matakwa ya wananchi ni siasa changa na chafu kwa wote 3. wananchi hufuata upepo na...
  12. RWEYONGEZA MUTTA

    Katiba na maamuzi ya mahakama za kimataifa

    Kesi ya mtikila na tanganyika law society zilifanana katika kupinga mabadiliko ya kumi na moja ya katiba na kuomba kuhalalishwa kwa swala la mgombea huru katika katib yetu!! rufaa iliyowasilishwa katika mahakama ya haki za binadamu afrika, maamuzi yakawa kwa upande wa hao warufani!! Sasa...
  13. RWEYONGEZA MUTTA

    Katiba na maamuzi ya mahakama za kimataifa

    Habari wanajf!! Mimi nataka kufahamu kwamba kwakuwa katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ni sheria mama na ni zao la wananchi wa tanzania, na kwamba sheria za kimataifa ili zitambulikd nchini lazima zifate taratibu zilizowekwa na katiba hii!! Lakini je maamuzi ya mahakama za kimataifa...
  14. RWEYONGEZA MUTTA

    Misemo na methali za DSM

    Wacha hahahahah
  15. RWEYONGEZA MUTTA

    msaada wenu unahitajia tafadhali..!!

    Pole sana ndugu! Km unavyojua sheria lazima ifuatwe, na mauziano hayo yanatakiwa yathibitishwe na mkataba wa maandishi na kwa maana hiyo mauziano ya viwanja yantakiwa yafuate msharti ya kanuni za ununuzi km inavyoelezwa na sheria ya ardhi sura no.113 ! Sasa swala la kupta hati miliki inatakiwa...
Back
Top Bottom