Recent content by Rwegarulila

  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa Tundu Lissu, Watanzania ni wapenzi wa michezo hasa mpira wa miguu, lakini viwanja vya michezo vingi hasa vya mikoani ni vibovu na hasa baada ya Chama Cha Mapinduzi kujimilikisha viwanja vilivyokuwa vinamilikiwa na Manispaa na vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi. Je, huoni ni wakati...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

    Mheshimiwa Tundu Lissu, Watanzania ni wapenzi wa michezo hasa mpira wa miguu, lakini viwanja vya michezo vingi hasa vya mikoani ni vibovu na hasa baada ya Chama Cha Mapinduzi kujimilikisha viwanja vilivyokuwa vinamikikiwa na Manispaa na vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi. Je, huoni ni wakati...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uongo na Upotoshaji huu wa BBC London kuhusu Tanzania kipindi hiki cha kampeni una maana gani? Sio mbinu za mabeberu? Wapi weledi wa ki-BBC?

    Pascal Mayalla ili kuondoa hii sintofahamu ni kwa Serikali kuuweka huo mkataba hadharani kwa umma kwa kuupeleka kwenye Bunge kama sheria inavyotamka! Hiyo taarifa ya BBC iwe kichocheo au changamoto ya kufanya hivyo!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wanaodhani wana furaha hawana furaha. Wapinzani hawana furaha, wapinzani wa wapinzani hawana furaha

    🤣😅😂! Hii pumba uliyoandika hapa ni utafiti tosha ya kwamba huna furaha! Umeghadhibika kuona ukweli ukisemwa na Askofu Dr Bagonza!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Aliye jirani na Kocha Mbovu kuwahi kutokea Taifa Stars Amunike anisaidie Kuniulizia Kwake haya Maswali yangu 11 tu tafadhali

    Hivi Simba walivyokung'utwa 5-0 na Vita Kinshasa hao Tshabalala, Mkude, Nyoni hawakuwepo? 😂🤣😅!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tushuhudie Live Tukio la Kuwasilishwa Kwa Ripoti ya CAG, Leo Saa 3:00 Asubuhi.Je ni Yenywe Halisi Yenye Sahihi ya CAG Prof.Assad or ni Fake?

    Hatimaye Bunge Dhaifu limeshindwa kusimamia Azimio lake Dhaifu la kutokufanya kazi na CAG! Huu ni uthibitisho dhahiri na rasmi kwamba Bunge chini ya Spika Job Ndugai na Naibu Spika Dk Tulia Ackson ni Dhaifu kwelikweli linashindwa hata kusimamia maazimio yake yaliyo Dhaifu!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Dkt. Nshala aitaka Serikali kukamilisha uchunguzi wa waliompiga risasi Lissu

    Rais Mteule wa TLS anazungumzia Rais wa TLS 2017 aliyemiminiwa risasi! Ni wajibu wake kuikumbusha Serikali kuhusu kesi ya kiongozi wao aliyeshambuliwa akiwa madarakani na hakuna hatua zozote zilizokwisha kuchukua!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu: Siku ya shambulio hakukuwa na ulinzi wowote, eneo lile linalindwa na askari wenye bunduki siku zote

    Now I really understand how 'intelligent idiots' think!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu: Siku ya shambulio hakukuwa na ulinzi wowote, eneo lile linalindwa na askari wenye bunduki siku zote

    Now I really understand how 'intelligent idiots' think!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lissu: Siku ya shambulio hakukuwa na ulinzi wowote, eneo lile linalindwa na askari wenye bunduki siku zote

    Polisi wewe unachekesha sana! Unauliza: 'Hapo napo kunafikirisha sana, ni nani hasa aliyefungua geti' maana tunatambua kabsa haiwezekani nyumba ya viongozi mahali ambapo kuna walinzi geti likawa wazi...' Sasa huyo mlinzi, Polisi au korokoroni aliyekuwa zamu ya kufungua geti mmeshamuhoji alikuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ya Tindu Lissu ni zaidi ya tunayosikia na kuona?

    😂🤣😅! Ndiyo vyombo vya usalama mmeanza uchunguzi baada ya kumkosa dereva! 🙄!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Lissu muongo! Rais Magufuli alisema neno kuhusu kushambuliwa kwake

    Is a tweet an official public statement? 🤔?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

    Huyu Mbunge si anayo mashine yake aliyozaliwa nayo! Aitumie kufanyia huo ukaguzi kama anaona una tija! 🤔?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    Hahahaha! Huwezi kumpa airtime mtu ambaye hakujitayarisha na hakuwa na lolote la maana la kusema! Kwanza kuonyesha how wayward he was, he addressed Jon as George! He also said the Media Services Act of 1916 which Tundu Lissu was also involved in enacting! Really 1916? How do you give airtime to...
Back
Top Bottom