Recent content by rwakitwe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hatulalamiki kuboreshwa miundombinu ya magereza na vituo vya Polisi nchini Tanzania?

    Ni vile kila mtu huwa anaona hapamuhusu lakini kila mtu ni mfungwa mtarajiwa ni matter of time hata ukiwa kiongozi mkubwa mambo yanaweza kubadilika kulingana na uongozi wa wakati husika ukalazimika kuingizwa gerezani kulingana na uliyoyafanya kipindi cha uongozi wako mfano sabaya hakuwahi kuwaza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mke wangu baada ya kupata kazi na mshahara mnono ameanza kunidharau

    Hii huwa napita nayo sana hadi wife anasemaga hawezi kunishauri kwa sababu simsikilizi ila marafiki wakinishauri nawasikiliza
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

    Nilimshauri sana nikampa na mifano ya desi kalyanda lakini hakutaka kunielewa.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

    Kila nikimuona nacheka sana bado anacheza hajajua kama mambo yameshakua sio
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya FIC imenitapeli. Naombeni Ushauri

    🤣kuna polisi mmoja amejiunga anasema wenzake wataona ghafla anakua tajir bahati mabaya mpaka sasa hajui kama mambo yameshaharibia
  6. R

    JamiiForums Tanzania Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

    Ahaa soko kubwa sehem gani mzee mnarani au stendi ya bajaji
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

    Kuna huwezekano hakuna aliyopona haiwezekani kwenye ndege kulikua na watu 43 waliookolewa 26 waliokufa 19 mbona hesabu zinagoma?
  8. R

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Dodoma Jiji FC | Uwanja wa Mkapa 02/10/2022

    Kibu ni kapumbavu fulani kapo kapo uwanjani
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

    Mnapenda kulalama kama watoto wa kambo.yani nyie mmeshaona kana kwamba simba na yanga ni kurwa na doto kwamba simba akipata iki na yanga lazima apate .mwacheni uswahili na ushamba wenu caf hakuna mambo kama hayo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama Yanga haikualikwa basi ni kweli TFF ina chuki/mgogoro dhidi ya Yanga

    Na nyie mnapenda kulalamika Sana sasa kama hawajatambua uwepo wenu kwa nini mlazimishe uwepo wenu.kwan kule wanagawa hela kwamba mmezikosa acheni uswahili na ushamba usio na maana
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa TFF na Kanuni zao

    Si unajua tabia za wabongo za kujitengezea vi logic uchwara Bila kufuatilia mambo kwa kina kwanza ndo waandike.nb nakushukuru kwa kumuonesha kwamba kuna wako makini anapokuja kuandika kitu ajiridhishe ukweli wa anayoyaandika
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufurahia mapenzi, oa mwanamke asiye na kazi

    Fafanua kidogo ndugu naweza pata cha kujifunza
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wataka wanaume wawalipe mishahara wake zao

    Ifike mahali itungwe sheria kwamba wanaharakati wa kike wanaofanya harakati zinazousiana na ndoa wawe ni wanandoa na ndoa zao tujiridhishe kwamba ni za mfano kwenye jamii sio li mtu linatoka uko hata halijui nini maana ya ndoa eti kinaongelea ndoa .haya majitu yanayojiita wanaharakati wanatamani...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Mbona umeongea kinyonge sana
  15. R

    JamiiForums Tanzania Faini ya CAF kwa Biashara inatisha

    Umemaliza kila kitu ( thread Naona iishie apa)
Back
Top Bottom