Mimi nadhani si jukumu la tume kutetea/kulazimisha uwepo wa serikali 3 au ngapi! wao walishapokea maoni ya wananchi na kuandaa rasimu, sasa wawaache wananchi mbalimbali waendelee kutoa maoni juu ya rasimu hiyo na hatimae kupata katiba waitakayo!
Suala hili la muungano na mfumo wa serikali 1 au...
RAIS wa Sudan Kusini Salva Kiir ameteua baraza jipya la mawaziri, baada ya kuwafuta kazi mawaziri wake wiki jana.
Kwa mujibu wa taarifa ya serikali , baraza hilo litakuwa ndogo ikilinganishwa na hapo awali.
Angali anatarajiwa kutangaza makamu mpya wa rais baada ya pia kumfuta kazi aliyekuwa...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.