Recent content by Ruwamangi

  1. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Pombe ina imani yake ya ajabu sana

    Toka nimeacha pombe nimekuwa na hatua, so pombe ilikuwa inanivurugia program zangu (kuamka mapema, kupanga ratiba za kazi za siku inayofuata) mipango kutotimia na kutumia fedha bila utaratibu(poor finacial managerment) Kama mtu unatumia pombe nakushauri pumzika six months lazima utapata mabadiliko
  2. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Acha akili ya Kitombile, hakuna sheria inayolazimisha upendo. Sasa hivi ni mtoto tu ndo bottom line
  3. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Kama ataendelea na huo ujinga nitamnyanganya huyo mtoto kwa nguvu na hamna kitu atafanya
  4. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    So kwa mantiki hiyo ubaba utaondoka?! Unazifahamu haki za mtoto kwa baba na baba kwa mtoto?
  5. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Nilijitambulisha pale na huyu mwanamke alikuja kuthibitisha kwa kunipigia simu kama kweli nilienda pale. Na baadaye mwalimu alinieleza aliyomweleza kunihusu mimi so uhusianocwangu na mwalimu ukaendelea since that day
  6. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Ni jeuri mkuu na wewe atakushinda i tell you pumbavu😂😂
  7. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Namlipa ada na yeye ndo ananipatia-ga taarifa za mtoto za kielemu kumbuka hapo kituoni ndo mahali pia nimeanza kuonana na mtoto ili anijiue kama baba
  8. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Asante. Changamoto iliyopo ni communication. Mfano mtoto ameumwa hamna taarifa kutoka kwake. Umepata taarifa kutoka sehemu nyingine umepiga umempigia simu amakujibu hamna shida then mabishano ya kipuuzi!
  9. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananiwekea Vikwazo kuonana na mtoto wangu

    Wakuu salama, nimezaa na mwamnke mmoja ambaye sasa ni single mother. Nilikuwa namhudumia lakini wakti mwingine simhudumii kulingana na ujeuri wake. Nikitaka kumuona mtoto inakuwa ngumu, nikimwambia amlete ataki. Sasa mtoto amefikia hatua yupo daycare amempeleka huko hakunishirikisha...
  10. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

    Msigwa haoni dalili ya uteuzi😂😂 , hakika mafuta na maji lazima vijitenge
  11. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

    Mkuu ulitisha! naamini alisoma hii thread ila kiburi. Njomalii alikuwa over confidence. Hasa dili zake za kushirikiana na polisi. Na mambo ya October 2025 ndo yalikuwa ya mwisho kwake
  12. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Jamila anajua mwenendo wa mume wake. Banjoo au kwa jina la njomali alikuwa tishio kwa askari wadogo na baadhi ya wakubwa. Sijui ni mistake gani kubwa alifanya
  13. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Banjoo ni Mwarusha pure mama yake ndo mrangi
  14. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Ndo ilikuwa bar yake 2012-2016 baada ya kubadilishwa na kuwa maabara. Banjoo tatizo elimu lakini ukubwa alikuwa nao
  15. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

    Bushmamy , justin Nyari alikuwepo? nilimuona Mojaa akisalimiwa kwa heshima na kila mtu kama pablo escoba mithili ya mtu mwenye empire yake
Back
Top Bottom