Kuhusu teuzi nyingi kutoka kanda fulani, Mimi naona ni sawa tu. Huko nyuma tumeshuhudia baadhi ya kanda zikitoa mawaziri wakuu zaidi ya wanne, huku kanda nyingine hakuna siyo tu waziri mkuu Bali hata N / waziri. Sasa ni Kutesa kwa zamu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mawaziri tulionao wanafanya kazi huku wakimwogopa raising. Hivi waziri was sheria ambaye no prof nguli wa sheria,anashinwaje kumshauri bwana raisi na kumweleza athari hasi zinazoweza kutokea,ikiwa jambo fulani LA kisheria likiwa mishandled!!!? Hawaoni kuwa kwakushindwa kutoa ushauri wao...
Imetungwa na kupotishwa kimkakati,kwamba nssf iweze kuwekeza kwenye vipaumbele vya serikali mf.ujenzi wa viwanda,mirad ya stieglers gorge nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilivyo ni kwamba kwa wale woote waliofungua madai kuanzia April 2018 imeamriwa wasishughulikiwe kwanza mpaka baadae. Wanaofikiria kufungua sasa watakuwa treated with accordance to the new low(ie FAO LA kukosa ajira). Thanks God Mimi nimezivuta last month.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada atakuwa na mahaba na maayatullah,sasa Irani na waarab wote kama wanauwezo so wangeifuta Israel kwenye USO wa dunia,wanasubiri nini? Jamaa kula kukicha wanawatandika wapalestina ,mbona mi-ayatolla inaficha midevu tu huko iliko? Shame upon them!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo letu wataz tunataraji umauti utokee muda huo huo ndo tuamini,inawezekana wapwani wengi wamekufa muda mrefu tu,sasa kwakuwa cc so watu wa kufanya tafiti basi in vigumu kufahamu wangapi wamekufa. Kwasasa si vizuri kukanusha au kukubali moja kwa moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeomba msamaha,kanisa lingemsamehe. Mbona mapadri wanaotuhumiwa kudhalilisha watoto kingono Papa kawasamehe!!!!? Teh teh the!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.