TULIMAJE
Member
- Jun 14, 2017
- 92
- 51
Nilienda Mara ya kwanza miezi 4 iliyopita kwaajiri ya madai nikapewa form nirudi tarehe 22 /8/2018 nikaenda tar 28/8 2018.
Nilipofika pale dirishani la Temeke yule kijana aliyepo pale bila kucherewesha akasema ulichukua form lini nikamwambia miezi 4 iliyopita jamaa akanijibu fao La kujitoa halipo limesitishwa.
Nilishanga saana MTU huna kazi na umeshapanga mikakati yako kibiashara halafu kirahisi unaambiwa fao la kujitoa limesitishwa inakera sana.