Sifa nyingine ya uzalendo:
Kuwa tayari kupigania maslahi ya nchi yako kwanza (siyo chama, maslahi binafsi, ukanda au kikundi kimoja) na ikibidi kujitoa mhanga
LET US LEAVE THE BAGAMOYO PORT PROJECT ALONE. IT WILL MORTGAGE OUR ECONOMY AND OUR COUNTRY TO FOREIGN INTERESTS INDEFINITELY. IT IS NOT A LIFE OR DEATH PROJECT AND SMELLS OF GRAFT. WE SHOULD SCALE UP INVESTMENT IN TANGA PORT WHICH IS ALREADY FUNCTIONAL AND VIABLE. DEVELOP A STRATEGIC PLAN FOR...
Museveni na Kagame ni wanajeshi na majenerali, wameingia madarakani kwa mtutu wa bunduki. Utawala wao ni wa kijeshijeshi. Wenyewe wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu hawawezi kuishi hata siku moja bila madaraka ya uraisi. Hivyo wanatafuta uraisi wa maisha. Tanzania ina mfumo wazi wa ukomo...
Tatizo la kwanza ni serikali, tatizo la pili ni serikali na tatizo la tatu ni serikali...... Serikali ndiyo inayowajibika kutunga sera ya elimu ambayo inaaksi mazingira na malengo yetu. Suala la lugha ya kufundishia ni miongoni mwa masuala tete ya sera yoyote ya elimu. Kiingereza hakifai kwa...
Hakuna anayepaswa kuadhibiwa. Paulo anajitahidi kufanya kazi yake, ila inawezekana hajui au haheshimu taratibu za serikali..sana sana amekaa kisiasa zaidi(hajapitia utumishi-civil service au sekta ya majeshi ?). Asingekuwa anakurupuka bila kushirikiana na wenzake mfano idara ya ustawi wa jamii...
Tatizo ni kwamba pamoja na umuhimu wa bidhaa zinazosemekana kuwa kwenye makontena, msaada uliombwa na mtu binafsi na ukatumwa kwake in a personal capacity. Mh P. M na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ni vitu 2 tofauti. Lazima tutofautishe kati ya official na personal transaction. Hadi leo sijaona mkono wa...
Baada ya kuisoma barua ya Komba niligundua kuna watu hawaitakii nchi hii mema, au wanauhujumu utawala kwa kuuongezea matatizo, badala ya kuusaidia kuongoza kwa hekima kama tunavyowaombea Makanisani kila jumapili. Mwigulu ana hekima sana na anaona mbali. Mungu ambariki kwa kutuepusha zahama!
Nafasi ya katibu mkuu ni ya kisiasa (political), kitaluuma, kitaalam(technical) au vipi ? Inahitaji uzoefu gani au haihitaji uzoefu katika tasnia hiyo ? Wajuzi karibuni !
Mkuu na mimi nawapongeza kwa kutambua ukweli na kuchukua hatua kwa maslahi ya Zanzibar. Tena nawashauri wangalie na pengo katika vyuo vikuu, watafute world class professors kujaza nafasi kama hizo. Baada ya muda unaweza kukuta Wabara wakienda visiwani kutafuta elimu bora. Hongera Mzee Shein !
Sponsored propaganda... Mradi mpya wa watu fulani... hakika umegharimiwa vizuri....pia umeanza kutoa ajira ..naona baadhi ya majina kawaida yenye hoja tata tayari yameanza kujitokeza .. tenda imeingia !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.