Recent content by ruva mlay

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna watu wanahonga 50,000 per night?

    Kawaida iyo
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Maalim Seif Sharif Hamad ahamie CHADEMA

    Huo mgogoro umepandikizwa na ccm lipumba kashanunuliwa kuvuruga upinzani
  3. R

    JamiiForums Tanzania TLS kufutwa rasmi? mswada wakamilika kupelekwa bungeni

    Sio lazima Waziri afuate anachotaka raisi Waziri anatakiwa kuwa na misimamo yake au kujiuzulu pale anaposhinikizwa kufanya utekelezaji wa vitu vya kijinga
  4. R

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS na hujuma za Mwakyembe, tutajua anayechagua ni serikali au wanachama wa TLS

    Serikali ya awamu ya Tano MTU akisema ukweli akikosoa serikali wanasema uchochezi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mfano wa kuigwa, aenda mahakamani kumpa sapoti Tundu Lissu

    Ccm wameweka mizizi kwenye hii katiba ambayo bila kuibadili watatawala milele
  6. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mfano wa kuigwa, aenda mahakamani kumpa sapoti Tundu Lissu

    Bila kubadili katiba kwenye kipengele cha madaraka ya rais na pia kwenye tume huru ya uchaguzi na kuwepo na kipengele cha kupinga matokeo ya urais mahakamani wapinzan kuchukua nchi itakuwa kazi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Anza na Kusaini Hati za Wote Waliohukumiwa Kifo, Wanyongwe Haraka Haraka Mpaka..

    Unakurupuka sana kuna watu wanafungwa bila hatia mfano kwenye kipind cha zembwela cha uswazi yupo MTU alihukumiwa kunyongwa mwaka 90 alafu miaka ya ivi karibuni ukweli ukabainika kuwa hana hatia mkapa na kikwete wangesaini huoni wangebeba zambi ya kuua MTU bila hatia?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Makonda kumbuka kuna kesho

    Makonda yupo sawa hajakurupuka ila awe impartial kwenye hii vita asifungamane na mrengo wowote wa kisiasa
Back
Top Bottom