Usiwahukumu , hao waumini na Kuwaita wajinga , huenda hata na wewe ni mjinga kwa hapo unapo abudu, omba mwenyezi mungu aturehemu ,na atujalie mwanga wa roho mtakatifu , maana alisema kutakuwa na manabii wa uongo ,, like Elijah did at Mt Carmel for the false prophet.
Peleka hilo swali kwa radio Maria au tumaini, utawakuta wataalamu watakupa majibu mazuri . Napia unachotakiwa kufanya ni kutafuta utakatifu na sio mgawanyo wa majimbo ,
Usipuuzie , hayo mawazo ni mke mwema huyo ,vipi kama angekwambia mwende mkajirushe , kwenye mahoteli ya garama , . Chamsingi hapo komaa ununue Kiwanja , uanze kujenga mdogo mdogo, na pia kumbuka wewe ni mwanaume , lazima ujenge nyumba , hata vyumba viwili. Kama hutaki kujenga acha kuzaa...
Chamsingi ni kufanya mawasiliano ,na kuja kukiona , na kupata detail kwa majirani, karibu na plot,. Maana ni eneo ambalo limepakana na nyumba nzuri na za kisasa. 0653998683 . Napia kwa wale mnao hofia bomoabomoa , huwezi kujua chochote humu , chamsingi fika ulione eneo , lilipo...
Ukiwa unatoka mbezi , upande wa kulia , karibu na emet secondary , shuka ruguruni , fuata barabara ya lapaz mita 500 , pia kipo kwenye proces ya kupimwa ,. Mie sijalipia upimaji ,ila ukinunua ,utalipa hapo garama za upimaji ,200,000
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 kwa 25 ,kinauzwa , Kiwanja kipo kibamba . Kinaumbari
Wa m500 ,kutoka morogoro load , katembea kwa miguu mpaka kilipo ni dk 20 /30. gari inafika bila shida. Umeme na maji vipo , eneo lipo tambarare ,na nilahisi kwa kujenga. bei million 6 . Unaweza kulipa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.