Hili suala la plate namba hapa nchimi limekuwa sugu.
Hapa nimepitwa na Hammer halina plate namba kabisa juzi magari yaliyokuwa yameegeshwa Kisutu 💯 kubwa haya kuwa na namba ingawa yote yalikiwa yanaendeshwa na polis wenyewe.
Ngoja atoe hizo Siri nyie mnaomkandia najua mtakosa majibu tu. Sijaona ubaya kwa alichosema. Mtu yeyote mwenye akili anamkubali huyo jamaa. Nyie mnaotetea huwa mnakosa majibu thabiti mnaishia kutukana tu. SIKU ZOTE MPUMBAVU ANAONA MWENYE AKILI KAMA FARA
Magari ya Polis pale Kisutu Jana asilimia kubwa haya kuwa na namba kabisa.
Kwasasa ukitaka usisumbuliwe na mapolisi hasa barabarani, we toa namba kabisa (ila uwe na gari lenye hadhi kdg na jipya) tutaenda kwa spidi utakayo na utosumbuliwa point yoyote. We angalia kwa sasa Kuna utitili wa magari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.