Recent content by Rushambyaitamago

  1. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola mkamateni Lissu kwa kuidhalilisha, kuichafua na kuiaibisha familia namba moja kwa tuhuma zisizo na ushahidi

    Hakika huu msemo umeenda shule, bila kuwa na D mbili huwezi kuelewa kabisa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Lissu ameshamshinda Mbowe!!

    Mbowe akirudi kuwa mwenyekiti imani yangu na CHADEMA itakuwa imefikia kikomo Lissu ndo kipenzi cha watu maana huyu icon ya Taifa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    Mimi nimeomba tangu mwezi Oktoba, lakini hadi sasa hakuna(sijapata). Wazoefu hii mikopo inachukua muda gani hadi upewe?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, nina vyeti viwili vya kidato cha nne. Necta wanaweza kuunganisha na kupata cheti kimoja?

    Wadau na watalaam wa masuala ya elimu, NECTA wanaweza kuunganisha cheti cha kwanza na cha pili ni cha kureseat mtihani na kupata cheti kimoja? Kama inawezekana nianzie wapi ili niweze kusaidiwa? Karibu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA imegawanyika Vipande Viwili?

    Unatuletea taarifa ambazo huna uhakika nazo
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA imegawanyika Vipande Viwili?

    Acheni kubwabwaja
  7. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na maigizo, ujanja wa viongozi kula ruzuku

    Kwa hiyo uliambiwa ruzuku ni kwa ajili gani
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aingia Ngorongoro na kupokelewa kwa kishindo

    Huyu kweli ni mpendwa wa watu sio siri
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi

    Yaani huku kanda ya ziwa kwa wasukuma mama hakubaliki hata kidogo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Mwamba Lissu!!! Ndugu zake na marafiki wa mkubwa wanakula mema ya nchi
Back
Top Bottom