Recent content by Rusengo

  1. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    Ndio hao uliowaona tu dar nzima? Hata wazungu hujawaona?
  2. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    Shida ni nn mi sijaelewa hapo. Utamaduni wa Ngara unakukera?
  3. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

  4. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    Wahangaza kuna watutsi wahutu na watwa sio wahangaza wote ni watutsi
  5. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    Kila sehemu ina utaratibu wake na radio Kwizera huwa wanaongea lugha tatu kiswahili Kirundi na kinyarwanda kwa sababu inasikika mpaka Rwanda na Burundi. Na kirundi na kinyarwanda kinashabihiana na kihangaza kwahiyo hakuna kisichoeleweka kwa watu wa ngara
  6. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    Aliyekwambia mtutsi kwao sio Ngara ni nani? Watawala wa asili wa Ngara unadhani ni Nani kama sio watutsi? Kasome upya historia
  7. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    Tamaduni za kitanzania zipi unazotaka kwa mfano? Kwani wamasai wa Arusha wana tamaduni tofauti na wamasai wa kenya?
  8. R

    JamiiForums Tanzania NGARA ni Tanzania ama?

    Ngara kwa asili haina tofauti na Rwanda NA Burundi na mashariki ya Congo. Ngara kuna Clan kubwa tatu. Watutsi, wahutu na watwa. Kwahiyo unapowaona watutsi Ngara wapo kwao na kuhusu kuwepo kwa wanyarwanda Ngara na warundi sidhani km ni tatizo so long as wapo kihalali na idara ya uhamiaji ipo kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Picha za maafa ya mvua Kahama

    Poleni sana ndg zetu tuko pamoja
  10. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi?

    Mama akasome upya sheria ya kodi TRA haichagui source ya kodi hata source iwe haramu kazi yake ni kukusanya kodi. Wapo watu wenye kazi yao ya kukamata fedha haramu na kujudge uhalali wa pesa TRA sip kazi yao hiyo
  11. R

    JamiiForums Tanzania Helicopter ya Maliasili yadondoka na kuua Kipunguni B - Ukonga Dar Es Salaam

    Unaongelea kupoteza helicopter je watu waliopoteza maisha yao hawana thamani? Helicopter inaweza kununuliwa mpya lakini je watu waliokufa watanunuliwa duka gani? This is very serious na hapa uchunguzi ufanyike watu wachukuliwe hatua km ilivofanyika kwa escrow
  12. R

    JamiiForums Tanzania Helicopter ya Maliasili yadondoka na kuua Kipunguni B - Ukonga Dar Es Salaam

    Hivi kweli watu kupata ajali na kufa ni habari njema kwako!? You must be a witch sio kawaida
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ajali Ubungo, Dar: Lori la Mafuta lagonga tuta na kulipuka!

    Hapo wenye baa watakuwa wamekula hasara km watu hawajatumia wasaa huo kukimbia bill zao sijui!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mke akiri kumsaliti mumewe miaka 7

    Kwahiyo km mwenzio performance yake iko chini ndo ukambebee kiburudisho chake kama ndo tabia yako na ww jiandae kuliwa pera bila mate .
  15. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti

    Kwahiyo hata kama una D mbili za o'level unafanya diploma? Waziri utakuwa umemquote vibaya
Back
Top Bottom