Recent content by Rusende

  1. R

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa Na vidonda vya tumbo tafuta majani yanaitwa mashona nguo

    Ni sahihi mkuu,na majani haya ni dawa nzuri tu,Mimi Huwa natumia sana,na kwa kuwa upatikanaji wake,yakiwa mabichi ni aghalabu sana,chukua majani yaanike kwenye chombo au kiroba kisafi yakauke kwa bila kuanikwa juani. Kisha chambua yatwange, baadae yasage kwa Brenda,UNGA wake unatumia kwa kijiko...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Uwongo wa mchana kweupe...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji; Deo Bonge alikuwa anakamatwa sio kutekwa

    Inaonyesha hata wewe mkuu huna uhakika kama ni wakamataji ya watekaji kwa sentence yako ya kuwa 'inaonyesha kama walikua wanamteka!!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo

    Mkuu,We are the Inner,samahani sana,nilipata changamoto kidogo ya hand set yangu,ulinishauri kufanya meditation kuhusu tatizo langu la upumuaji kwenye enclosed space,naomba ufafanuzi kuhusu zoezi hilo la meditation mkuu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo

    Sahihi kabisa, mara nyingine ina bidi ujaribu kupotezea ama kwa kuchart kwa simu,vip hukupata kushauriwa lolote kuhusu changamoto hii?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo

    Wana-jamii wenzangu mimi nina tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo, ama kwenye korido ndefu isiokuwa na uingizaji wa hewa fresh kutoka nje. Aidha, nikipanda lift mara mlango unapofungwa hupata tabu sana ya kupumua, mara kadhaa hushindwa kuendelea na safari yangu ya floor ninayokwenda. Aidha...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Afariki kwa kupata ajali Buguruni Dar 27.9.2024, atakayemtambua awajuze ndugu zake

    R.i.p amepata ajali kivipi,naona leseni ya udereva alikua anaendesha chombo gani,naomba kufahamu member.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

    Hapo mtaa wa uhuru ama kichwele zamani,taxi peogeout 4×4 mfaransa kituo cha mafuta total kipo Hadi leo, mtaa wa uhuru Swahili na nyamwezi str.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Kulikoni.?!! Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nini kilichosababisha kifo cha mchezaji wa Simba, Hussein Tindwa?

    Kongole kwa picha,nawaona kwa mbali ninawowakumbuka Martin Kikwa,Abdallah Mwinyimkuu, Mohamed Bakari Tall, Mohamed Kajole,Willy Mwajibe,ila vijana wa zamani, Nywele zilikua nyingi mno,ila sasa hv vipara vimetawala doo!!Mabugaloo na Raizon ngazi mbili mpaka tatu Sent from my Infinix X657 using...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kusikia story gani kuhusu Said Salim Awadh Bakhresa?

    Namkumbuka huyu mzee Bakhresa 1976 ama 1977 wakati anafanya kazi ya kushona viatu katika fremu ndogo ya duka katika gorofa la mtaa wa Livingston na mtaa wa Uhuru zamani kichwele str.na walikiwa wanakaa sakafuni na wanashona viatu kwa mikono,mwaka huo alienda hijja Mecca,aliporudi aliwaletea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kurudisha raia wake waliopo Sudan kutokana na machafuko yanayoendelea

    Loo hata mimi nilijiuliza hayo mabasi dereva anaonaje mbele,au ndo kama majahazi makubwa ya tanga? Nahodha anakua nyuma? Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sheria 17 za Soka

    Asante sana, jukwaa hili ni zaidi ya shule.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sheria 17 za Soka

    Habari za mchana, Wadau, naomba kuzipata Sheria 17 za Soka mtandaoni, kuuliza si ujinga jamani. Asanteni.
Back
Top Bottom