Recent content by Rural Swagga

  1. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?

    Saaafi hela ya mpaka mwaka mpya 3.5 imelipa
  2. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?

    Labda uingie wewe uwanjani 😂😂..Inatoka kaka hata 2.5 wewe weka tu
  3. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Kama umenunua Bajaji ya Milioni 20 ili upewe 20k kwa siku basi unafanya biashara kichaa

    Mbona Bajaj zimejaa tele barabarani,au ni za majini😂
  4. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  5. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

    Dawa hii hapa ,Unafahamu majani flani hivi yanaotaga pembezoni mwa bahari kama ukoka hivi sema Yana majani mapana...Yachukue yaponde ponde,then binuka jikamulie maji yake matone kadhaa kwenye tuzi,kesho asubuhi ukiamka ni mzima
  6. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

    Bado tatizo linakusumbua?
  7. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Lord Eyez akamatwa kwa kuiba spea za gari la Ommy Dimpoz

    Miaka 12 iliyopita khaaaa
  8. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    Lazima uwapelekee simu?
  9. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Amini kwamba babu
  10. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabus tunaomba mje route ya Songea

    Songea to Njombe ni balaaa Kuna likumburu Kitonga ikasome,acha kabisa mdau
  11. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Shoga yule,wanamkula vizuri tu,sijui kapatwa na Nini,Kuna Saloon Moja iko mwenge hapo opposite na Efatha alikua ananyoa hapo kitambo sijamsikia
  12. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Ni kipaji udambwi upi wamefanya Gaucho, Zidane na Okocha ambacho Neymar Jr hajakifanya katika mpira?

    Kuna jamaa yangu mmoja anae houseboy wa mwaka 2006(kazaliwa)mwenyeji wa Iringa,basi ndio kwanza kamiliki smart phone,basi kila kitu kwake ni kipya kuanzia nyimbo mpaka wachezaji,Unaweza kukutana nae anakuuliza bro unamjua Pdidy wewe
  13. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Kwa Dar es salaam kuna maeneo ambayo viwanja vinaweza patikana Kwa laki 3?

    Atupe hiyo laki tatu,ni mtaji mkubwa kule kwa kanji
  14. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mama najiskia aibu Mimi mwanao😅😅
  15. Rural Swagga

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Eeeh Najitahidi sana jamani💩💩
Back
Top Bottom