Recent content by Rurakha

  1. Rurakha

    PreGE2025 Ndio maana Bunge linapitisha tozo, kumbe wao haziwahusu!

    Na je gharama za kutuma maana ukituma unakatwa ila hapo imeonyedha 0
  2. Rurakha

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Lakini pia taarifa ya Irani ilitolewa saa 72 kabla na walisema maeneo watakaopiga na walisema hawatopiga Raia katika mission yao
  3. Rurakha

    Mke wangu amepata changamoto ya kupumua na sauti haitoki punde baada ya kujifungua

    Habari za leo Ninaomba ushauri kutokana na changamoto inaomkabili mke wangu leo siku ya 11 tangu ajifungue tarehe 5 February 2024. Ilikuwa hivi mke wangu alikua na changamoto ya uchache wa damu wakati anajifungua hivyo ikapelelea akaongezewa damu. Baadae akaruhusiwa na kuna dawa tumepewa sasa...
  4. Rurakha

    Nyie mnaokesha kumpotosha Rais ipo siku mtaondoka Duniani

    Mi nadhani CCM waruhusu wagombea wengine mama akae pembeni
  5. Rurakha

    Waislamu kumbukeni kujenga nyumba nzuri ya imamu karibu na msikiti. Pia maimamu na mashehe wawe na mishahara kama wakristo kwa wachungaji

    Misikiti mingi iko chini ya BAKWATA ambao ni wahuni wanatufanya tusichangie yaani mimi sadaka yangu msikitini nawanunulia Luku au natafuta masikini nje nampatia uzuri sisi waislam sadaka naamua mwenyewe nimpe nani au nipeleke wapi
  6. Rurakha

    Maoni: TANESCO isimamiwe na jeshi

    Habari za leo Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi. Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo...
  7. Rurakha

    Aliyeapa kuhakikisha bwawa la Mwl Nyerere halifanyi kazi ni nani?

    Duh utashangaa mawaziri wapo wapo sijui kuna nini kwenye Nishati na Sukari
  8. Rurakha

    NMB kupata faida inayovunja rekodi zote ya TZS 775 bilioni ni matokeo ya Sera chanya na rafiki za kibiashara za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Boss nakuomba ukienda kwa wakala angalia Tarrifs za makato kisha linganisha angalia katika zile Board zao wamebandika ukutani angalia CRDB na NMB kisha utaleta mrrjesho ukitaka Benk Cheap tumia azania, Equity, Exim na DTB hizo ndio Bank Cheap upande wa makato mimi ni WAKALA nina huduma zote...
  9. Rurakha

    NMB kupata faida inayovunja rekodi zote ya TZS 775 bilioni ni matokeo ya Sera chanya na rafiki za kibiashara za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Benki ya NMB lazma wapate faida kubwa kwa sababu kaongeza unyonyaji mkubwa sana kwa wateja 1. Benki ina Makato makubwa sana kuliko Benki zote hasa ukitoa kwa Wakala mfano ukitoa 100,000 kwa wakala wa NMB unakatwa 4500 plus Tozo ya 500 jumla unakatwa 5000 ila CRDB unakatwa 3950 plus Tozo ya 500...
  10. Rurakha

    Wataalam wa sheria, hakuna uwezekano wa kwenda mahakamani kuishinikiza Serikali iruhusu uwepo wa mshindani wa TANESCO?

    Habari za leo, Natumaini mnaendelea vizuri na utekelezaji wa majukum ya kila siku. Binafsi nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa shughuli za mahakama Nchini Kenya nimeona mamna ambavyo Mahakama ya Kenya imekuwa ikitoa mashinikizo mbali mbali kwa serikali kwa manufaa ya wananchi Tukirudi hapa...
  11. Rurakha

    TTCL yatajwa ya mwisho ubora wa huduma

    Wapime na TANESCO
  12. Rurakha

    Je, Kuna Taasisi ya ovyo Kabisa Nchini Kuizidi TANESCO?

    Ipo TTCL UDART laiti TTCL ingekuwa peke yake sokoni mvua ikinyesha kungekua hakuna mawasiliano
  13. Rurakha

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024

    Ningekua Raisi ningeteua Gavana wa BOT Muhindi mrugenzi wa TANESCO, UDART, TTCL na TIC ningeweka wahindi
Back
Top Bottom