Recent content by Ruppy karenston

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Hawa ndo tunawaita wawakilishi wetu na watungaji wa sheria khaa!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Dr. Mvungi: Madaktari wa Muhimbili na Afrika Kusini watofautiana

    Hapo mkweli anajulikana hakuna haja ya kumtafuta kwa tochi. R.I.P Dr Mvungi.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Huu ni unyama sana.Anapaswa kujiuzu mara moja.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Tatizo la viongozi wetu hawa ni kwamba akili za juu zimehamia chini.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete arudisha zawadi ya dhahabu

    Unafiki ni dhambi inayotafuna nchi yetu.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hongera Paul Makonda kwa nafasi uliyo ipata, ninakuamini upo Imara sana

    haha jf is never boring
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mshahara wa Rais Wa Bongo Million 32 Ni Peanuts Kulinganisha na Wengine Africa na Mambelez!

    Uchumi wao ukoje ukilinganisha na wa kwetu? What is their GDP per capital in a year?? There are alot of factors to consider and nat just the figure in question. I urge you think outside the box.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

    na inafanyika makusudi kupotosha ukweli.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Aiseee Mungu ampe nafuu na amrudishe katika hali aliyokuwa nayo. Pole sana familia ya Ufoo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamuntu (Startv): CHADEMA Wameshajitoa Katika Muungano...!

    hahaha jf is never boring nilikuwa na stress zishaisha.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yafungiwa na Serikali!

    Hahaha kweli sikio la kufa halisikii dawa na asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu. Nimeamini mpiga ngumi ukutani huumiza mkonowe na kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

    sidhani kama anaelewa anachokiongea
  13. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Kongamano la amani ya Tanzania - Julai 28, 2013

    Aisee inasikitisha sana,kumbe jeshi linafanya unyama wote huu? Amani haiwezi kupatikana kwa namna hii.
Back
Top Bottom