Recent content by rupiiiiiiiiii

  1. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Msaada please

    Asanten ..kwa ushauri ndugu zangu
  2. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Msaada please

    Nashindwa kuelewa mana wametaja had venue na tarehe ya interview ila usipolipa hiyo pesa umejitoa mwenyewe ....
  3. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Msaada please

    Asanteni...
  4. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Msaada please

    Nimeitwa interview apex consultant natasa ya public relation ila wanataka nitume pesa elfu 22 ya registration na tunatuma kwa mpesa au tigo pesa. kuna mtu anawafahamu aniondoe hofu au kunaaliyeitwa anijuze mana nawaza usawa huu mgumu sana afu nitapeliwe msaada tafadhali
  5. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Ukiona kupata kazi shida, badilisha gea angani

    Naomba uelekeze vizuri ...sijaelewa ..nami nahisi itanifaa ...
  6. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu wana jamvi

    Nawasalimu wote humu ndani! Mimi ni mgeni naomba mnipokee, japo mara nyingi huwa napita kusoma. Naomba msaada kwa wanaofahamu jinsi ya kujiunga na Post Graduate ya Education , Open University, pamoja na gharama zao kwa ujumla!
  7. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya marafiki wapya na nafasi ya kutafuta kazi

    kweli kabisa ......nimepata cha kujifunza hongera sana kwa mada nzuri ya kutuamsha
  8. rupiiiiiiiiii

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji kwanini haongei Kiswahili?

    kweli kabisa ,,,watu wanaona kuongea kiingereza ndio heshima ,,,hasa viongozi wa tanzania
Back
Top Bottom