Ukiona kupata kazi shida, badilisha gea angani

Ukiona kupata kazi shida, badilisha gea angani

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu salama, kuna watu humu ndani wanalalamika kuwa ajira ni ngumu, ni kweli ajira ngumu, Nacte wamesogeza mbele tarehe ya udahili wa masomo ya uwalimu kwa upande wa diploma ya uwalimu, sio mbaya ukibadilisha gea angani, na kuomea uwalimu, ni miaka miwili tu, unapata ajira yako ya uwakika,kubali uteseke miaka miwili, ule bata miaka 50 ijayo. Wapo watakaosema uoga wa maisha, ila kila mtu na msalaba wake, wakati ukiwa chuon unaendele kuomba ajira utumish, ukipata unaachia njiani,maana unaweza kukaa hiyo miaka miwili ukakukuta hapo hap, na bado ujapata ajira ya kudumu na uwakika. ni ushauri tu,wala msijenge chuki.
 
Hebu fafanua hapo NACTE kusogeza mbele tarehe ya UDAHILI....
 
hata mie nilikuwa na mpango wa kubadiri gia angani, maana tangu nimalize, almost it was bora hata ningeenda kusome degree ya udaktari maana 5 yrs niliona kukatika,,, ila bahati nzuri nikapata kazi! hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha
 
Back
Top Bottom