hatutumii hizo za ttcl au bmtl,mimi sio dumb kiasi hicho,nnatumia personal email,yahoo actually,sasa ameniambia kuwa wameziona zote nikashangaa,sina uhakika kama wameziona ila ameniambia bosi mwenyewe,kwani nikituma kwa yahoo hawawezi ziona inamaana,au wameona word docs nilizo save kwenye...