i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 297
Awezi kuona your personal email kama za yahoo na gmail kama admin lakini kama mtundu anahack computer yako ukiwa kazini basi anaweza akawa anakula chabo nahiyo ni kosa kukuingilia mamboyako binafsi. Vinginevyo anakupa tumbo joto tuu. wewe nenda kwa hiyo site yenye portable softwares alafu unaweka kwa USB yako na utajipendelea mwenyewe labda awe na chukibinafsi akulie chabo wakati unatumia ofisini.hatutumii hizo za ttcl au bmtl,mimi sio dumb kiasi hicho,nnatumia personal email,yahoo actually,sasa ameniambia kuwa wameziona zote nikashangaa,sina uhakika kama wameziona ila ameniambia bosi mwenyewe,kwani nikituma kwa yahoo hawawezi ziona inamaana,au wameona word docs nilizo save kwenye pc,nieleweshe vizuri kaka,kwani ishakuwa shida tayari
Kitukingine anachoweza kuwa anajua labda wewe unatumia internet nyingi sana labda kushinda wengine kama kila mtu hapo ofisini labda anatumia 100mbs alafu wewe unatumia 2gb kwa wiki. Hapo ndo anaweza kuwa anajua wewe unakula sana internet kushinda wengine basi unafanya mambo yako mengine wakati wa kazi. Mimi ningekushauri uangalie kama kuna wenzako hapo ofisini wanatumia internet zaidi au laa. Vinginevyo unaweza kufutwa kazi kisa kufisadi internet.