Asante sana dr,
Kuhusu kwenye familia hatuna changamoto hiyo ya kigugumizi na pia kwa watu wa karibu pia hakuna,
Kuhusu kuanguka sidhani kama alishawahi kuanguka mpaka kutisha kiasi icho.
Hapa itabidi nimpekele hospitali kwa uchunguzi zaidi.
Nashukuru sana kwa muitikio wako
Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu.
Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake.
Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
mi naona kama haja ya kutolea ufafanuzi anaitwa kwenye kamati tu, hiyo ndo ingekuwa njia nzuri ya kuwawajibisha zaidi kuliko kujiwajibisha wenyewe ndani ya kamati kuu
Bold kwanza neno nyumba yake.
Nakupa true story ya mtu aliyekuwa na akili kama zako maana naona ndo unakoelekea.
Jamaa baada ya mama yao kufariki na kwaacha watoto watatu wakiwa wadogo, baba yao aliamua kuoa mke mwingine kwenye nyumba ile ile ya mke mkubwa.
Baada ya miaka kadhaa ya ndoa ile...
una point mkuu kwa sababu wizara ya ajira, kazi, vijana na wenyeulemavu tayari lshalitaja hilo kundi la walemavu.
Huku kwenye hii wizara ni vyema wakayaweka bayana hayo makundi maalumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.