Wagalatia kweli mmerogwa, yani kwa sababu mmeona majina ni Waislamu mmeanza kuleta chuki kuwa fedha za Uharamia,fedha chafu. Sasa nyie kinachowauma kwa sababu sio wazungu wanaojenga huu mradi. Kila nchi ina matajiri na wajasiriamali na hawa wanatafuta sehemu salama ya kuinvest. miradi hii Kenya...
Na ndio wanaowaongoza nyie wasomi, mtaisoma namba tunawakimbiza kimya kimya mkistuka tumejaa kila sekta, Wagalatia acheni ujinga wenu. Mtalalamika sana na ndio tunawaongoza hicho chama chenu CDM kitaendelea kusoma namba.
Hivi nyie Wagalatia mkiambiwa Yesu sio Mungu kwa sababu Qur-an Tukufu imesema hivyo, na hata Biblia someni Wagalatia 3 mnasema ni kashfa. Sasa mnataka Waislamu nao wakubaliane na huo uongo uliokanushwa na Biblia. Enyi Wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga kuwa Yesu ni Mungu?
Wagalatia wengi mnashindwa kuficha chuki zenu dhidi ya Uislam, na mapenzi yenu kwa CDM. UAMSHO wakipigwa virungu na kuitwa magaidi mnashangilia, CDM chama chenu wakiitwa magaidi na kuchapwa virungu mnalalamikia Polisi na CCM. Hakuna tofauti ya magaidi wote ni sawa tu, kama CDM wamefanya vurugu...
Wamarekani kupitia CIA wana data za kila kitu dunia hii, wanakujua kuliko unavyojijua ingia ktk link hii https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html ujue wingi wa waislam Tanzania tena inawezekana wamepunguza na hizo figure lakini wameshindwa kuwaongezea wagalatia.
Waislamu pia wanasoma kwa bidii lakini kwa kukosa kujua kinachofanyika kufelisha watoto wa kiislam na mfano matokeo ya kidato cha nne mtihani ya dini ya kiislam Ndalichako amekiri eti walikosea kwa bahati mbaya computer zikasahihisha kimakosa baada ya waislamu kupinga matokeo na kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.