twendeni pamoja. nimenunua mtungi ulio na gesi kwa 180000 ikiwa na rangi safi sasa umeisha naenda tena kununua napewa lenye kutu kweli? mnasema chagua rangi uipendayo inawezekana? eti nisafishe kabla sijaupeleka kutu nasafisha na nini? naomba jibu.
Heshima kwenu.
jamani hii ni kero unaenda na mtungi ulioisha uko safi.Hauna michubuko sasa ngoja wanaokupa yaaani kutu tupu.je kwa makampuni husika hawalioni hili? na je kunachombo kinachosimamia hili? nisaidiwe na anaejua karibuni.
Heshima kwenu,
naomba msaada wa kufix laptop yangu Toshiba ukiiwasha inadisplay one of ur disk needs consistancy na ukiendelea inasema chkdsk verrifying msaada please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.