Recent content by Rumbler77

  1. R

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

    ukikaa ndani ya nyumba ya vioo usipende michezo ya mawe. Jide aliyataka mwenyewa she is so pathetic and desperate anataka huruma za watanzania sasa hao aliowachokoza they seem to be one step ahead always!!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa st.john university adharani.

    Mambo mengi kama si yote yaliyoandikwa ni ya kweli. Hao vijana wanaotajwa wanasomea masters akina Ryakitimbo na Kavishe wote hao wanapewa hadhi ya u senior lecturer wakati hawastahili. Mimi nilihitimu hapo SJUT kabla mambo hayajabadilika wakati wa enzi za marehemu Prof. Mwaga, Prof Meshack na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    inawezekana alirekodiwa dirishani na wapiga chabo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    Hakuna jambo la kushangaza hapo inawezekana kweli ulirekodiwa au siyo kweli coz kila siku tunaona watu wanapigwa picha bila kujijua hivyo pia suala la kurekodiwa pia linawezekana ila ww kwa sababu ni muhusika mkuu kama ulivoiona hiyo clip lazima utakuwa umejua imerekodiwa kwenyye gest ipi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    ni kweli kwani wingi wa wageni unakukera nini wakati wa huzuni sote tunahuzunika
  6. R

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    watu kama hawa hata kwetu wapo au ndo yeye kamgonga hawakosekani katika jamii what if angekuwa ndugu yako au mama mzazi ungesemaje?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama agongwa na kufariki hapo hapo Bamaga!

    Ni vigumu sana kuamini japo simfahamu lakini imeniuma hadi nahisi machozi yananileng nimepita pale Bamaga mida ya saa sita hivi kuelekea Mwenge na nilivorudi nilimkuta bado anaongoza tena alininyooshea mikono kwa bidii niongeze spidi ya gari na nikapita kuelekea Kinondoni.Hakujua au sie...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Siri ya kipigo cha Kibanda yafichuka, gari ya polisi yatajwa kumfuatilia

    Wewe unaonekana kama unashangilia. kupigwa kwa kibanda siyo suala la kupigwa na wahuni inaonekana ni watu waliojipanga
  9. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    tufungue macho huku tunakoelekea si pazuri
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Padre Zanzibar: Rais Kikwete awataka wakatoliki kutulia, linashughulikiwa

    nyerere utarudi lini?
Back
Top Bottom