Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa BURIGI-CHATO. Huku Ibanda na...
Jamii inapaswa kujua kuwa Sheria hiyo inafanyiwa marekebisho ili iwe rahisi kuwahudumia wananchi wanaotaka kuwa na NGOs. Pia itapunguza utitiri wa taasisi za kusimamia jambo moja
Tarehe 19 June 2019, Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”. Angalizo hilo la kiusalama lilitokana na uvumi unaodaiwa na ubalozi huo kusambaa kuhusu uwezekano wa kutokea kwa shambulio katika baadhi ya...
Na, Ibrahim Haroub Geveva
Nikiwa katika shughuli za kikazi za Umoja wa Mataifa hapa Geneva, nimefadhaishwa na namna Ubalozi wa Marekani Tanzania ulivyotoa taarifa ya UZUSHI huko Tanzania.
Mwaka 1998, hao ndugu walipigwa na hawakutoa tahadhari yoyote Dar es Salaam wala Nairobi. Nakumbuka...
Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya Biharamulo, Burigi na Kimisi zitatengeneza hifadhi iliyopendekezwa kuitwa BURIGI-CHATO. Huku Ibanda na...
Kutoa taarifa za uongo ni kosa kisheria,hicho kitu ulichopost sio Tanzania bali ni kenya na nawashangaa jamii forum mnaiacha taarifa hii inasambazwa wakati haijakamilika.Tunataka mtoa taarifa atueleze hii picha kaitoa wapi.
Wanatakiwa wajue nchi yetu ni ya amani sana na ndio maana huwa nashangaa watu wanavyosema inaudectetor wakati watu wanamtukana rais na bado inanyamaza kimya.Kwenye mitandao kuna uhuru wa kutosha kabisa lkn watu wanasema ni nchi ya udectetor ivi wanajua maana ya hilo neno.Sasa huyo aliyemtusi...
Hiyo sio kazi yako ndugu na hayo hatuyataki sisi wananchi,sisi tunachotaka nikuleta sera za maendeleo hayo mambo ya private issue peleka huko kama huna la kuandika kaa kimya ushauri vya wenzako vyenye maana.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea nafasi za masomo ya
muda mrefu katika fani ya Sayansi kutoka Serikali ya Misri.
Masomo hayo ambayo ni kwa ngazi ya Shahada ya Uzamili na Uzamivu yatatolewa kwenye Chuo Kikuu cha Alexandria kilichopo nchini Misri chini ya...
Spika wa Bunge, Job Ndugai kwa niaba ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Dkt. Reginald Mengi na kueleza mchango wake mkubwa kwa taifa.
Spika Ndugai ametumia dakika mbili kuoeleza mchango wa Dkt. Mengi katika Taifa na namna wakavyomkumbuka...
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewaomba wafanya biashara nchini kutopandisha bidhaa mbalimbali kuelekea kipindi hiki cha mfungo wa ramadhani, huku akiwataka Waislamu wote kuwa macho ifikapo mwezi 29 ili kupata taarifa sahihi juu ya mwandamo wa mwezi huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.