Baadhi ya Wabunge wapokea fedha chafu Morena Hoteli, Dodoma

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
346
380
Wakati Serikali ikijiandaa na ukusanyaji wa Maoni ya Wadau katika mabadiliko ya Sheria (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali kupokea fedha maeneo ya Morena Hotel -Dodoma ili wapaze sauti zao.

Wabunge wengi inasemekana wana mahusiano na taasisi na asasi za kiraia kwa muda mrefu na kupata vijisenti na huenda wakaathiriwa na sheria hiyo ambayo lengo lake ni kuweka miundo mizuri na kuwarahisishia mchakato wa huduma wananchi ambao walikuwa wanasumbuka kupata usajili au katika usimamizi.

#My Take: Suala la Mabadiliko ya Sheria halihitaji Lobbying. Wabunge wajenge utaratibu wa kutazama maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla bila kujali itikadi zao.
 
Lobbying ni namna ya kujenga hoja na kushawishi!!
Ni
Njia halali ya kujieleza na kushawishi wengine wakubaliane na wewe kwa hoja!!

Kama unazungmzia hilo mie sioni tatizo!!
 
Unataka mswada ukiletwa usijadiliwe na wadau wenye maoni mbalimbali?
 
Kuna watu wanaitwa NDioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo maslahi ya wananchi kwo ni ndoto!
 
Wakati Serikali ikijiandaa na ukusanyaji wa Maoni ya Wadau katika mabadiliko ya Sheria (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali kupokea fedha maeneo ya Morena Hotel -Dodoma ili wapaze sauti zao.

Wabunge wengi inasemekana wana mahusiano na taasisi na asasi za kiraia kwa muda mrefu na kupata vijisenti na huenda wakaathiriwa na sheria hiyo ambayo lengo lake ni kuweka miundo mizuri na kuwarahisishia mchakato wa huduma wananchi ambao walikuwa wanasumbuka kupata usajili au katika usimamizi.

#My Take: Suala la Mabadiliko ya Sheria halihitaji Lobbying. Wabunge wajenge utaratibu wa kutazama maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla bila kujali itikadi zao.
 
Jamii inapaswa kujua kuwa Sheria hiyo inafanyiwa marekebisho ili iwe rahisi kuwahudumia wananchi wanaotaka kuwa na NGOs. Pia itapunguza utitiri wa taasisi za kusimamia jambo moja
 
Mkuu naomba ushahidi wa kuthibitisha maneno yako matamu kuwa wamepokea fedha maeneo ya Morena Hotel. Hata picha inatosha sana.

Wakati Serikali ikijiandaa na ukusanyaji wa Maoni ya Wadau katika mabadiliko ya Sheria (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali kupokea fedha maeneo ya Morena Hotel -Dodoma ili wapaze sauti zao.

Wabunge wengi inasemekana wana mahusiano na taasisi na asasi za kiraia kwa muda mrefu na kupata vijisenti na huenda wakaathiriwa na sheria hiyo ambayo lengo lake ni kuweka miundo mizuri na kuwarahisishia mchakato wa huduma wananchi ambao walikuwa wanasumbuka kupata usajili au katika usimamizi.

#My Take: Suala la Mabadiliko ya Sheria halihitaji Lobbying. Wabunge wajenge utaratibu wa kutazama maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla bila kujali itikadi zao.
 
eti lengo la hiyo sheria ni nini?? watanzania sio wajinga kiasi hicho, mnatoa sababu za kinafiki na kipuuzi zinazowafanya muonekane wapumbavu.
 
Watakuwa wabunge wa maccm tu wale wasio na NONGWA ambao ndiyo chanzo kikubwa cha kuwa na Bunge KINYAA.

Wakati Serikali ikijiandaa na ukusanyaji wa Maoni ya Wadau katika mabadiliko ya Sheria (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali kupokea fedha maeneo ya Morena Hotel -Dodoma ili wapaze sauti zao.

Wabunge wengi inasemekana wana mahusiano na taasisi na asasi za kiraia kwa muda mrefu na kupata vijisenti na huenda wakaathiriwa na sheria hiyo ambayo lengo lake ni kuweka miundo mizuri na kuwarahisishia mchakato wa huduma wananchi ambao walikuwa wanasumbuka kupata usajili au katika usimamizi.

#My Take: Suala la Mabadiliko ya Sheria halihitaji Lobbying. Wabunge wajenge utaratibu wa kutazama maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla bila kujali itikadi zao.
 
Hebu weka hapa mswada wa mabadiliko tujadili issues sio tuhuma za kubumba!!
 
Wakati Serikali ikijiandaa na ukusanyaji wa Maoni ya Wadau katika mabadiliko ya Sheria (The Non-Governmental Organization Act), baadhi ya Wabunge wameshindwa kujificha kimaadili na kukubali kupokea fedha maeneo ya Morena Hotel -Dodoma ili wapaze sauti zao.

Wabunge wengi inasemekana wana mahusiano na taasisi na asasi za kiraia kwa muda mrefu na kupata vijisenti na huenda wakaathiriwa na sheria hiyo ambayo lengo lake ni kuweka miundo mizuri na kuwarahisishia mchakato wa huduma wananchi ambao walikuwa wanasumbuka kupata usajili au katika usimamizi.

#My Take: Suala la Mabadiliko ya Sheria halihitaji Lobbying. Wabunge wajenge utaratibu wa kutazama maslahi ya wananchi na nchi kwa ujumla bila kujali itikadi zao.
[/Q
Duuuuhhhh tunaisaliti nchi yetu sisi wenyewe mungu atulinde na vibraka wachumia matumbo yao.
 
Back
Top Bottom