Recent content by RUKAKA

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nape: Ben Saanane amepotea, Clouds wamevamiwa, akina Roma wametekwa, Rais achukue hatua

    awe mpole tu sizitaki mbichi hizi aliropoka kufunga goli la mkono sasa kafungwa la kiwiko na bado la kisigino! CCM tuko ngangali walitumia gharama kubwa na fedha nyingi ila 2020 kiulaini make wananchi watakuwa wameona manufaa kutokana hiki kinachoendelea kurejesha nchi kwa wanyonge
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri wa Elimu Ndalichako, hatuendi shule za Msingi hata kwa vitisho.(Maandamano yaja)

    Hawezi unadhani kama alitengua ya vyeti vya ndoa ya mwakyembe DR ataweza ya Prof?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naiona CCM ikimeguka vipande viwili: Wanachama wanasubiri tamko tu kutoka upande wa pili

    CCM tuko ngangali acha hayo mawazo yako sisi tunafurahia hatua zinazochukuliwa kwa sasa nyie mliokuwa mmehodhi chama ndio mnasikitika kwani chama kimewarudia wenyewe ambao ni wanyonge. Acha tuchape kazi mbele ya safari utakubali tu kuwa tuko ngangali kinoma.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ukata unavyowaliza wabunge kikatili: Waacha vyumba hotelini na kuhamia Guest House

    Ja,mani mbona maisha ni kawaida mnawasingizia wabunge kwani wao hawana akili kama wangeona shida wangesema kwanini mnawasemea?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere Foundation toeni Tamko kwa hali Nchini

    Hio taasisi hawajipendi nini kofi alilopigwa mzee walioba kipindi cha mchakato wa katiba mpya halijapoa halafu unataka apigwe tena. mzee tulia wenye nchi wapo hasa vijana ndo wenye taifa la sasa sie tuko saa 12.30
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mh. Magufuli walimu wanaojiendeleza wana kosa gani?

    Nawasikitikia walimu wanaojiendeleza miaka hii kwani wanahujumiwa kupanda vyeo. Wasaidie wanaumia wafutie waraka huo.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Tuko pamoja
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa msamaha wa kodi kwa mtumishi wa umma kama unaagiza gari nje

    We m2mishi kamuone boss wako, afisa utumishi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Dodoma vijana wanakufa njaa, mkopo hakuna

    Bodi mbona walisema wametoa % 100
  10. R

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

    Kwahiyo hata taasisi zingine wasivae? Mf. Wanajeshi, wanafunzi n.k. Ni mtazamo wako ila mimi sioni kosa.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Binafsi nimekuelewa. Kinyume chake ni sahihi! Umetisha.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waliouziwa nyumba za serikali wakaziuza

    Kwa nyumba ngumu, kwani
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waraka wa kufuta ada elimu ya sekondari (1-4) na michango yote elimu ya msingi

    Wenye five na six tutakoma make michango haijakatazwa kwao wanatutaka tujenge hadi vyoo serikali ingeacha ada c mchango
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Tusidanganyane kuna kuwa na mahusiano mabaya na wife ila nyumba ndogo wakatanua. Chezea limbwata wewe!
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Maduka ya UCHUMI waenda kwenye Ofisi zao kudai haki zao

    Maduka hayo ukakasi mtupu. Mbona yafirisika karibia na uchaguzi? Wenye mnawajua kweli, shauri yenu mimi sisemi mengi.
Back
Top Bottom