Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

Kwahiyo hata taasisi zingine wasivae? Mf. Wanajeshi, wanafunzi n.k. Ni mtazamo wako ila mimi sioni kosa.
 
Rais magufuli alitoa agizo kuwa 9/12/2015 itakuwa ni siku ya usafi nchi nzima badala ya kuwa siku ya uhuru ili kuokoa mabilioni ya pesa za walalahoi yanayotumika kwa anasa kila mwaka!

Ulimbukeni huu na ushari huu umethibitisha pasi na shaka kuwa ccm ni wapumbavu,upumbavu siyo tusi bali ni sifa (adjective) mpumbavu ni mtu asiye na hekima,hata ktk Biblia imeandikwa kuwa mpumbavu kasema hakuna Mungu,Mithali.

Nilichoka kuwa ona kwenye TV eti wamevalia Kiccm!.Vitendo vingine ni kujijidhalilisha na siyo kila kitu ni Siasa-tabia hii nadhani inatakiwa ikemewe kwa Jamii yote. Siyo kila shughuli ni shughuli za Kisiasa na haya yanasababishwa na Viongozi wenyewe.

Ukada kila kona ya Utendaji wa Serikali ni Shida.
 
Kinachowauma nn mtu Akivaa sare ya chama,kama unaweza na ww vaa yako ingia mtaani fanya usafi,,nchi hii iko huru bwana
 
Halafu wavaa hizo safe wsmekomaaa sura,ishara ya dhiki ya Mali na akili
 
Ccm ni mapumbavu na upumbavu ndiyo nyumbani kwao.

CCM siyo mapumbavu ndiyo wanao endesha nchi ?mind you? wangekuwa wapumbavu siku nyingi mngewaondoa madarakani kirahisi, lakini mmeshindwa kabisa na sijui kama itawezekana ?they are no stupid but clever ones
 
Tangu lini jitu likiwa ccm liwe na akili timamu? Mengi yao yako ccm kimadilimadili tu.
 
Hata mimi nimeamua kulala maana nimegundua bado kampeni zinaendelea.

Ujinga hauwaishi
 
Ccm ni mapumbavu na upumbavu ndiyo nyumbani kwao.

Ni majuha tena kupindukia! Hata rais Magufuli anawajua kuwa ccm ni wajinga ndo maana anaendesha serikali kwa staili ya upinzani na siyo kwa mazoea ya ki ccm,na bado watakiona cha moto!
 
Upumbavu wa Ccm umewazidi ujanja wa Ukawa

Ujanja gani? Kuiba kura na kupora haki za wanyonge ni ujanja huo au ujambazi na ukatili? Kila mwana ccm anayechangia anazidi kujidhihirisha kuwa ni mpumbavu aliyetukuka.
 
Mkapa aliwaita malofa na mapumbavu. Ndio wamevaa. Huwezi kumzuia mtu uhuru wake na wewe vaa hata chupi yenye kinyesi kama ya mgombea wenu.
 
Rais Magufuli alitoa agizo kuwa 9/12/2015 itakuwa ni siku ya usafi nchi nzima badala ya kuwa siku ya uhuru ili kuokoa mabilioni ya pesa za walalahoi yanayotumika kwa anasa kila mwaka!

Kampeni zimeisha,rais kapatikana,Sasa inakuwaje wana CCM kuvaa sare za chama chao wakati wa usafi wa kitaifa usiohusisha vyama vya kisiasa? Rais alitoa agizo kwa wana CCM tu au kwa watanzania wote? Ni tafsiri gani hiyo?

Vipi kama NCCR,CUF,na CHADEMA nao wakivaa sare zao na kisha kuingia mitaani na kujichanganya na wana CCM je?! Hali itakuwa shwari kweli? Hapo usafi utafanyika kweli au vitaanza vijembe vya kisiasa na hatimae ugomvi? au Hawa wana CCM tuliowaona ktk taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu wametengewa maeneo yao maalumu ya usafi? Au usafi huu ni wa makada wa chama cha CCM pekee?

Ulimbukeni huu na ushari huu umethibitisha pasi na shaka kuwa ccm ni wapumbavu,upumbavu siyo tusi bali ni sifa (adjective) mpumbavu ni mtu asiye na hekima,hata ktk Biblia imeandikwa kuwa mpumbavu kasema hakuna Mungu,Mithali.

Ulimbukeni ni sera ya CCM. Hawajui ni lini wavae marangi yao ya kijani. Hata rais akiwa anatembelea mahali utawaona na marangi yao hayo. Hawawezi kutofautisha serikali na chama.
 
Back
Top Bottom