Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Mwalimu Nyerere foundation ni taasisi muhimu hapa nchini, ushauri wa taasisi hiyo ni muhimu kwa mustakabali wa nchi hii. Mzee Warioba, Mzee Butiku na Dkt Salim ni watu mliofanya kazi karibu na hayati mwalimu Nyerere kauli zenu zitachukuliwa kuwa ni ujumbe kutoka kwa muasisi wa taifa hili.
Naomba msikae kimya mtoe tamko kwa hali ilivyo nchini kabla mambo hayajaribika kabisa taifa linapoelekea siyo Tanzania Mwalimu aliyoiacha kama taifa inayoheshimu misingi ya utawala wa kisheria na haki ya binadamu.