Chuo kikuu cha Dodoma vijana wanakufa njaa, mkopo hakuna

Chuo kikuu cha Dodoma vijana wanakufa njaa, mkopo hakuna

mndorwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
2,472
Reaction score
1,028
Wakati kuna ubanaji wa matumizi serekalini mpaka leo wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma hawajapewa fedha za mkopo. Hivi haya mabilioni ya fedha yanayo okolewa huko bandarini na kwa kufuta sherehe yanapelekwa wapi au elimu kwenye serekali hii sio kipaumbele?

Inasikitisha sana kuona vijana wetu wanateseka, huku watu wana mwaga mjisifa kuwa mabilion yaokelewa yana pelekwa wap?

Serekali acheni kutelekeza watoto wetu ,kuna wanafunzi wa special diploma pale UDOM tena wengine ni wale wanao tika katika familia duni kabisa ,ni mwez sasa hawajapata fedha ya mkopo serekali inategemea nini?

Kama fedha sio kwaajili ya matumizi ya maskin ni kwaajili ua wachache hukuna faida ya kusema tumeokoa mabilion.Haya mabilioni mnayatumia wapi?
 
"Special diploma" ndio kozi gani? wanakufa njaa kwani ni watoto wa mitaani au wana wazazi?
 
Nipe namba za mabinti wazuri wenye njaa
 
Nna chalii yangu mdogo wake yupo hizo diploma za majaribio, ngoja nimuulize kama ameshapata mpunga au la?
 
Katika nchi maskini kam Tanzania huwa tuna kuwa na mipango hewa. Hawa special diploma waliwasili chuoni mwanzoni wa mwezi wa kumi na moja na kuanza mchakato wa kuomba mkopo kutoka bodi, tofaut na degree holder ambao hufany haya mapema wakiwa hom. Lakini pia cha kustaabisha ni kuwa mpaka juz waliambiw uhakika wa kupata mkopo itakuwa januar 2016.
Tunaiomba serikali ya mh JPM kushughulikia hawa ndugu zetu ambao weng wao ni Watanzania wenye maish duni .
 
Mleta mada acha kukurupuka. Kwa nin usiulize kwanza kabla ya kupost huo utopian. mimi nipo hapa udom na nimeshaingiziwa yapata wik sasa. Walimu pia walitangulia kuingiziwa kabla yetu. 80% ya wanachuo tayari washaingiziwa. weng ambao bado ni continues kutokana na wao wenyewe walichelewa kusain. na hapo special wamekuja kuombea hapa chuon unategemea wapate siku za usoni. Usipende kukurupuka.
 
Mkuu toeni tamko la kuipongeza Bodi ya Mikopo kwa kukamilisha zoezi la kutoa mikopo kwa 100%
 
Mleta mada acha kukurupuka. Kwa nin usiulize kwanza kabla ya kupost huo utopian. mimi nipo hapa udom na nimeshaingiziwa yapata wik sasa. Walimu pia walitangulia kuingiziwa kabla yetu. 80% ya wanachuo tayari washaingiziwa. weng ambao bado ni continues kutokana na wao wenyewe walichelewa kusain. na hapo special wamekuja kuombea hapa chuon unategemea wapate siku za usoni. Usipende kukurupuka.

WANATARAJIA KUPATA SIKU ZA USONI!!!!! Kumbe bado??
 
Mleta mada acha kukurupuka. Kwa nin usiulize kwanza kabla ya kupost huo utopian. mimi nipo hapa udom na nimeshaingiziwa yapata wik sasa. Walimu pia walitangulia kuingiziwa kabla yetu. 80% ya wanachuo tayari washaingiziwa. weng ambao bado ni continues kutokana na wao wenyewe walichelewa kusain. na hapo special wamekuja kuombea hapa chuon unategemea wapate siku za usoni. Usipende kukurupuka.[/Qacha kukurupuka kama wewe umepewa basi kuna wenzako hawajapata we jamaaa mwaka wa kwanza nn alaff unasoma sociology watu hawajapata pesa zaoo wewe ushapata kaa kimya
 
Bodi ya mikopo nalo jipu.Mtafuteni Mh. Ombeni Sefue. wanaohusika watapewa masaa ya kushughulikia tatizo . ni kazi tu.
 
Back
Top Bottom