Ahahahaaaa inauma sana kuona anaejiita msomi amevaa lisanamu shingoni au anaenda kulipigia magoti eti huyu ni mungu hapo unabaki unajiuliza alisoma ili kuondoa ujinga au kuongeza ujing
Kumbe na ww unachuki na uislam sawa wanajitahidi kusoma lakini hawana raha na maisha wala elimu zao Maana ile habari ya mwanaume kamili haiwahusu hata akifa hawezi acha nembo yake maana phd yake haibaki lakini angeacha utumwa wa kizungu angeacha familia kwahiyo ukiwa padri ni hasara kwa familia...
Umejitahidi kuandika ila ungeufatilia uislam vzr bila mihemko ungekua muislam maana kuhusu huduma hizo za bule kwa watu wenye uwezo wa chini kuna zaka kuna waqfu shule zipo hospital zipo nyumba za kuishi zipo ili mtoto wa mlala hoi azipate bule naye afurahie dunia ila kuna watu wanatumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.